Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Unachagua nchi, wazazi, mwaka etc?Mimi nsingebonyeza kabisa. Maana nisingekuwa na uhakika kama ntarudi kuwa hapa nilipo na ku enjoy life. Hiyo button ningesema iondolewe nisije nika press hata kwa bahati mbaya.
Kumbuka unapokuja anza unaanza upya kila kitu lets say unaanzia miaka 5 au 18. Then unaanza kila kitu upya kabisa kuanzia miaka hiyo.
Unachagua nchi, wazazi, mwaka etc?
Au unazaliwa random tu hata Malawi na Msumbiji?
Hili swali ni vigumu kulijibu bila ya kuwa biased na maisha uliyoishi.Random tu. Yaani inachofanya ina reset tu kwa umri huo wa miaka lets say 0, 5, 10,15, 20. Basi yenyewe ndo inakuchagulia sasa utaanzia familia gani, wapi na hali gani. Then ndo ukapambane na urekebishe ulipokosea
Mkuu,Akili za Nyetoh ni kuwaza impossibilities
Kiranga unorthodoxUnachagua nchi, wazazi, mwaka etc?
Au unazaliwa random tu hata Malawi na Msumbiji?
Kwema,Kiranga unorthodox
Mkuu kwema
Kitambo hiko sio...Kwema,
Vipi wewe?
Uzi umenikumbusha existential philosophers na maswali ya "the meaning of life".
Nipo hapa mkuu kila siku tunapishana tu.Kitambo hiko sio...
Sometimes unapotea au ni vile huwa sipati nyuzi unazo comment mkuu
Mkuu,
Hili ni swali kubwa sana la kifalsafa kuhusiana na maana ya maisha.
Hizi falsafa ya existentialism utazikuta ukiwasoma wanafalsafa kama Jean-Paul Sartre (Nobel literature 1964) na Albert Camus (Nobel 1957).
Kama hujawasoma existential philosophers kama hao, unaweza kuona hli swali ni la "akili za nyetoh".
Toka udogo mpaka kufika miaka 28 nili enjoy sana lakin kuanzia nilipooa nilienjoy miaka miwil ilivyopita dah msoto ukaanza kwaweli ningebonyeza ingefikia umri wa kuoa ningebak single