Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
- Thread starter
-
- #21
Mi ndo naishi maisha ninayotaka. So sitaki bonyenya buttonKwan at this stage kipi kinakuzuia kubonyeza button, hayo maisha unayowish ungeyaishi ndo uanze kuyaishi sasa 🤣. Hapo utakuwa umebonyeza button
What if I end up in a worse version of reality?
Mkuu,Hawa madogo huwa hawasomi na hawana uelewa wa haya mambo. Ndo maana kwa haraka amewaza jambo ambalo ndilo amekuwa exposed nalo sana katika maisha yake.
Wewe umewaza katika jambo ambalo umekuwa exposed nalo katika maisha yako. Mambo ya falsafa mtoto wa 2000s haelewi. Anaelewa sana nyetoh. Ni kuwasaidia tu hawa madogo ambayo are very corrupt and useless. Hii kitu nliundia theory ambayo niliita. THE THEORY OF TURN BACK THE HANDS OF TIME
Mangapi tungeyafanya tofauti na tulivyo.
ningekuwa single mana ndoa imenipotezea vitu ving vya msingiSo mpaka sasa ungekuwa single tu? Au ungerekebisha kwenye kuoa?
Kwa mfano baba ako akibonyeza hiyo button ina maana na wewe uwepo wapo utapotea
ningekuwa single mana ndoa imenipotezea vitu ving vya msingi
What if ungerudi single faza? Vumilia ndio uliyoichagua wewe!ningekuwa single mana ndoa imenipotezea vitu ving vya msingi
kaniharibia kasepa matokeo yake nimepoteza kila kitu ila inshalla japo some time nawaza kumfanyia kitu mbaya ila acha iwe tuWhat if ungerudi single faza? Vumilia ndio uliyoichagua wewe!
Usimfanyie chochote, muache tu dunia itamfunza! Kama kakukosea yeye hakuna haja ya kumlipiza, jipe muda utakaa sawa, time heals.. wala usijutie sana mkuu, ni mitihani kwenye maisha tu!kaniharibia kasepa matokeo yake nimepoteza kila kitu ila inshalla japo some time nawaza kumfanyia kitu mbaya ila acha iwe tu