Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia?

My mom and daddy..
Ningewaambia I'm just doing great, na nimekuwa mkubwa na ninafamilia!!
 
Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia .?

If there's a phone in heaven , I could be in touch with my Grand-father ili kumjulisha kuwa yale mashamba yake makubwa tumeyauza na kujenga visima vya maji Kama alivyoacha ametuambia.
Baba yangu...i miss him so much
 
Sir God nimwambie anipe miaka buku.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…