Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?
Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
Kwa mfano walitakiwa kufanya nini?CHADEMA ni Chama Cha Siasa kilicho sahihi lakini kinatumia mbinu ambazo siyo sahihi katika kupambana na CCM.
How?CHADEMA ni Chama Cha Siasa kilicho sahihi lakini kinatumia mbinu ambazo siyo sahihi katika kupambana na CCM.
Wanatakiwa watulie waibiwe kura?CHADEMA ni Chama Cha Siasa kilicho sahihi lakini kinatumia mbinu ambazo siyo sahihi katika kupambana na CCM.
Kuna muda kamanda unaniangusha sana....CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?
Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
Wanatakiwa watulie waibiwe kura?
Mkuu,ulishawahi kuona hata mmoja wao mwenye akili njema?CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?
Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
Hayo ni mawazo yako nadhani...CHADEMA ni Chama Cha Siasa kilicho sahihi lakini kinatumia mbinu ambazo siyo sahihi katika kupambana na CCM.
Nakuangusha ili kitokee nini?Kuna muda kamanda unaniangusha sana....
Akikujibu ntakutumia 10,000 ya Vocha.Kwa mfano walitakiwa kufanya nini?
Mpaka muda huu huoni huo udhaifu...Nakuangusha ili kitokee nini?
Ulitaka kifanyike nini?Mpaka muda huu huoni huo udhaifu...
SItokujibu...Ulitaka kifanyike nini?
Huenda ni zaidi ya ule wa warriorsCCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani?
Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama mtandao. Jee na Serikali nayo ni dhaifu kutaka kutumia mtandao kuendesha kesi dhidi ya Lissu?
Kwa mfano walitakiwa kufanya nini?
Kwa mfano walitakiwa kufanya nini?
Akikujibu ntakutumia 10,000 ya Vocha.
Kwa ivo CHADEMA inaendeshwa Kwa kufuata Biblia?Biblia Takatifu,
Kutoka 21 : 14, 23 - 25.
"Lakini mtu akimshambulia mwenzake makusudi na kumuua kwa jeuri, hata Kama atakimbilia kwenye madhabahu, mtamtoa huko madhabahuni pangu na KUMUUA.
Lakini Kama yatakuwepo madhara mengine, basi lazima amlipe uhai kwa uhai, jino kwa jino, jicho kwa jicho, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo."
Hayo ni mawazo yako nadhani...
Na usifikiri mwenye akili sawasawa kama anaweza kuafikiana na wewe ktk hilo