Sijui amani anaipataje kwa njia anazotumia kuingia madarakani…Sababu kuu ya wananchi kukosa hamasa ya uchaguzi ni kimama kukataliwa duniani na ahera.
Kimsingi uchaguzi wa 2025, ni sawa sawa na wa 2030 kwa kuwa hii ni scramble for 2030.Nini kimetokea mpaka kupiga kura tunaimizana hivi? Wananchi ni kwamba hawatambui uwajibu wao au wameona kupiga kura hakuna maana tena? Tunaitaji kurudi nyuma na kuangalia tumejikwaa wapi tuweze kujisahihisha,Kama una jicho la kuona mbali 2030 na ali inaweza kua mbaya sana watu wasijitokeze kabisa hata hawa watakao jitokeze October 29 kupiga kura inawezakana kabisa 2030 wasijitokeze kabisa au wapungue. Ni nini kifanyike ni mda wa Watawala kukaa mezani na kujitafakari Dunia haitagoma kutembea ukishidwa kutembea nayo tuache Propaganda za zamani tu jipange watawala tuwe wa kisasa zaidi Uongo wa zamani huwezi kuutumia karne hii Tenochogyia population hivi vitu lazima vitakuja kuangusha watawala ni kama wanajisahau kwamba katiba ya kipindi cha Nyerere Tanzania nzima ina population ya watu Milio 12 huwezi kutumia sasa kipindi ambacho population ina watu milion 65 plus Tenochogyia bado tuna nafasi ya Kujenga ni bora watawala tukae mezani tulinde tulicho nacho kabisa kuliko kuja kukipoteza hata kidogo tulicho nacho Taifa tukubali kulijenga kwa pamojau hoja isipigwe Rungu.
Kwa haya mambo ya ajabu yanayofanywa na hili limama 2030 atarudi ulingoni kugombea tena na atafanya juu chini ashinde2030 tegemea watu kukatwa vichwa on live television
Kama ile arabic inquisition ya magaidi?2030 tegemea watu kukatwa vichwa on live television
Hana akili amuaibishe nani sasa anayechuana naye??Watawala wameona huenda mwaka huu kukawa na mwitikio mdogo sana tofauti na vipindi vya nyuma. Na ikitokea hivyo itakuwa ni fedhea kwao na hautakuwa uhalali. Ndiyo maana kuna kiongozi mmoja wa kiti cha Urais alisikika akisema tujitokeze kwa wingi kupiga kura tuwaaibishe na akaenda mbali akisisitiza hata wagonjwa waliopo hospitalini kutakuwa na utaratibu wa kuwachukuwa wakapige kura kisha kuwarudisha.
Naam! Naam!Kama ile arabic inquisition ya magaidi?
Upigaji kura umebaki mitandaoni tu. Wananchi hawana habari na uchaguzi wa mwaka huuSio mama toka kipindi cha pili cha Magufuli muamko wa kupiga kura ulianza kupotea huo ndo ukweli
watawala wanaweza kumeza pini lakini Ogopa sana watu wakikosa Imani na box la kura hatari sana hii sijui wanachuliaje ili jambo sisi huwa tunasema kama wana CCM tunaoangalia taifa kwanzaUpigaji kura umebaki mitandaoni tu. Wananchi hawana habari na uchaguzi wa mwaka huu
Sasa kwani huyo jiwe alikuwa rais? Tanzania haina rais tangu 2015.Sio mama toka kipindi cha pili cha Magufuli muamko wa kupiga kura ulianza kupotea huo ndo ukweli
Upigaji kura umebaki mitandaoni tu. Wananchi hawana habari na uchaguzi wa mwaka huu
Kwaiyo kikwete ndie alikuwa rais? Hivi tofauti ya kikwete na Samia ktk uongozi wao ni kipi tofauti na jinsia?Sasa kwani huyo jiwe alikuwa rais? Tanzania haina rais tangu 2015.