GE2025 Kama kupiga kura tunahimizana hivi. Je, 2030 hali si itakua mbaya sana?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwaiyo kikwete ndie alikuwa rais? Hivi tofauti ya kikwete na Samia ktk uongozi wao ni kipi tofauti na jinsia?

Magu hawakumpenda wezi na baadhi ya wapinzani waliopelekwa na upepo wa kufuata mkumbo.
Kikwete was and still is the best of all presidents. He embraced democracy, showed resilience and tolerated his critics.

In his administration, we didn't witness abduction, extortion, torture and extrajudicial killings as they are rampart nowadays.

As a human, he made some mistakes, but not to the extent of major concern.
 
Kikwete was and still is the best of all presidents. He embraced democracy, showed resilience and tolerated his critics.

In his administration, we didn't witness abduction, extortion, torture and extrajudicial killings as they are rampart nowadays.

As human, he made some mistakes, but not to the extent of major concern.
This Aguement is Agreeable
 
Sasa kwani huyo jiwe alikuwa rais? Tanzania haina rais tangu 2015.
Mimi mwananchi wa hali ya chini MAGUFULI ndiye alikuwa Rais wangu wa kweli, japo kesha tangulia mbele za haki lakini moyoni mwangu ataishi milele. Rais wa kwanza kunifanya nijisikie maumivu automatically baada ya kusikia taarifa ya kifo chake, Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi!
 
..vipi kuhusu ukatili wakati wa utawala wa Magufuli?

..ulikuwa unaridhika jinsi viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani walivyokuwa wakiteswa wakati wa utawala wa Magufuli?
 
Magufuli atakubukwa kwa mambo mengi ikiwemo nidhamu kwa watumishi wa Umma ambao ndo wanaudumia wananchi wa chini
 
..vipi kuhusu ukatili wakati wa utawala wa Magufuli?

..ulikuwa unaridhika jinsi viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani walivyokuwa wakiteswa wakati wa utawala wa Magufuli?
Magufuli hajawai kua katili
 
Magufuli hajawai kua katili

..Mama Samia aliposema anakuja na Reforms, Reconciliation, Resilience, and Rebuilding, maana yake kuna mambo mabaya yakiwemo ya kikatili yalifanyika wakati wa utawala wa Magufuli.
 
Alikua anafanya ivyo kujijenga kisiasa hakuna Kibaya Magufuli alifanya ila alibana mianya ya wezi na mafisadi na vyeti fake na Matapeli wauza madawa ya kulevya ulimskia MSAMA kipind cha Magufuli au Seth ulikua unaskia wako mahakamani watumishi wa Umma walikua na nidhamu walijua ajira sio kazi yao ya kudumu mda wowote unaweza kufukuzwa Uzembe kazini ulipungua Achana na Magufuli
 
..Samia alitaka kutumia madhaifu ya Magufuli ili kujijenga, lakini sasa hivi amerudi unyama uleule wa Magufuli.
 
Ngoja tuone watu waamini tena kwenye kupiga kura
umemaliza hili ndio jibu.
sio 2030, wenda mambo yakawa magumu kuanzia 2029 kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na vijiji.

NB: nahisi tu lakini
 
..binafsi sijahudhuria, wala kusikiliza mkutano wowote, wa kampeni za mwaka huu.
Tume ya uchaguzi ipo mkononi mwa rais
kampeni ni wanapoteza kodi zetu tu
washajua mshindi ni nani

Sasa kuna haja gani ya kupanga foleni kuchafua vidole na kupotezeana muda?!
 
Watawala wameona huenda mwaka huu kukawa na mwitikio mdogo sana tofauti na vipindi vya nyuma. Na ikitokea hivyo itakuwa ni fedhea kwao na hautakuwa uhalali. Ndiyo maana kuna kiongozi mmoja wa kiti cha Urais alisikika akisema tujitokeze kwa wingi kupiga kura tuwaaibishe na akaenda mbali akisisitiza hata wagonjwa waliopo hospitalini kutakuwa na utaratibu wa kuwachukuwa wakapige kura kisha kuwarudisha.​
😅😅😅ccm wameishiwa pawa wanatamani hadi maiti ziamshwe zikawapigie kura😅😅😅😅
 
Ni hatari sana CCM tullitakiwa kusimamisha polepole urais na Tundu Lissu alafu tufanye reforms uchaguzi ungenoga sana
 
Back
Top Bottom