Kama kusoma hamjui na picha pia hamuoni?TFF rudieni kuangalia tena na tena hii mechi ya leo mtagundua kitu

Kama kusoma hamjui na picha pia hamuoni?TFF rudieni kuangalia tena na tena hii mechi ya leo mtagundua kitu

FYATU

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
5,567
Reaction score
4,683
Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu. Timu inaongozwa 2:1, dakika zimeisha, mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe?

Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote wangejazana golini kwa Simba ile faulo apige Golikipa, tena wangekuwa na haraka ya hatari, lakini ndio kwanza wanasubiri refa amalize mpira.

Anyways ipo siku mtaunbuka tu.
 
Wamefunga goli dakika 92 kati ya 94, badala ya kuforce mpira uanze haraka, wao ndio wakageuka wapoteza muda. Wakakusanyana kwenye kona kushangilia na kupiga dua.

Mechi au ushuzi?
Leo kuna wasanii wa Cheka Tu nimewaona jukwaani. Kuna jambo watakuwa wamejifunza leo litawasaidia katika uigizaji wao.
 
Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu.Timu inaongozwa 2:1,dakika zimeisha,mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe?.Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote wangejazana golini kwa Simba ile faulo apige Golikipa,tena wangekuwa na haraka ya hatari,lakini ndio kwanza wanasubiri refa amalize mpira.Anyways ipo siku mtaunbuka tu.
we umegundia nini?
 
Wamefunga goli dakika 92 kati ya 94, badala ya kuforce mpira uanze haraka, wao ndio wakageuka wapoteza muda. Wakakusanyana kwenye kona kushangilia na kupiga dua.

Mechi au ushuzi?
Ila utopolo ni kichekesho ..Mimi nasubiri tarehe 3 tu mamaeh.
 
Kaka acha kuwa serious na mpira wa bongo, hakuna chochote kitakachofanyika, hakuna mpira bongo ni blah blah TU...ligi haina ushindani, ligi yote game ambazo mtu anaweza kuangalia labda alapata ushindani ni sita, hapo bado makosa ya refa nk, angalia mpira wa bongo kama unaangalia movie ukiisha endelea na mishe zako acha kuuliza kwanini director kamuweka huyu character n.k
 
Back
Top Bottom