Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mmechemka hta nyie hamna furahaIla Mh. Ismail Rage anastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu kwa kuwaita mbumbumbu watu wa aina hii!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmechemka hta nyie hamna furahaIla Mh. Ismail Rage anastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu kwa kuwaita mbumbumbu watu wa aina hii!!
Pole sana kwa maumivu unayopitia!Mmechemka hta nyie hamna furaha
Maumivu?? Au nyie ndo mnaona jinsi gani mnatengeneza mtimu wa kuishia makundiPole sana kwa maumivu unayopitia!
Kumbe? Basi kama ni hivyo najua hii ratiba ya harusi iliangalia mbali saaana. Nilidhani mechi za mipango zinaisha leo ila harusi yenyewe bado kwa hiyo mwendo ule ule.Sio kwamba Mashujaa ana udhamini wa GSM ?
Au umebadilisha msimamo wako
Hapo sawaKumbe? Basi kama ni hivyo najua hii ratiba ya harusi iliangalia mbali saaana. Nilidhani mechi za mipango zinaisha leo ila harusi yenyewe bado kwa hiyo mwendo ule ule.
Kwa kikundi chenu hicho mlichokivalisha hayo majani, Azam atakuja kuwaaibisha. Sijui mnakutana naye lini.Hapo sawa
Sasa inakuwaje ndugu zangu nyinyi hamko kwenye udhamini wa GSM lakini mara 4 mfululizo mlichezea kichapo! Na mpaka mpaka muda huu dalili zinaonesha na tarehe 8 pia mtakichezea kichapo kingine cha 5 mfululizo!Kumbe? Basi kama ni hivyo najua hii ratiba ya harusi iliangalia mbali saaana. Nilidhani mechi za mipango zinaisha leo ila harusi yenyewe bado kwa hiyo mwendo ule ule.
😅😅Umehamia Azam tena?Kwa kikundi chenu hicho mlichokivalisha hayo majani, Azam atakuja kuwaaibisha. Sijui mnakutana naye lini.
Jamani amkeni! Anayeshikilia matunguli ya uto tushamjua!Sasa inakuwaje ndugu zangu nyinyi hamko kwenye udhamini wa GSM lakini mara 4 mfululizo mlichezea kichapo! Na mpaka mpaka muda huu dalili zinaonesha na tarehe 8 pia mtakichezea kichapo kingine cha 5 mfululizo!
Azam haina chapa ya GSM, pale kuna matumaini😅😅Umehamia Azam tena?
Wivu unateseka ukiwa wapi mkuu 🤣Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu.Timu inaongozwa 2:1,dakika zimeisha,mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe?.Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote wangejazana golini kwa Simba ile faulo apige Golikipa,tena wangekuwa na haraka ya hatari,lakini ndio kwanza wanasubiri refa amalize mpira.Anyways ipo siku mtaunbuka tu.
Nenda kale kwanza ukimaliza nenda pale tff Kuna sanduku la maoni alisema Msemaji wenu baada ya kuwa mmepora ushindi wa Dodoma Jiji sisi hapa atuna cha kukusaidiaNi kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu.Timu inaongozwa 2:1,dakika zimeisha,mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe?.Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote wangejazana golini kwa Simba ile faulo apige Golikipa,tena wangekuwa na haraka ya hatari,lakini ndio kwanza wanasubiri refa amalize mpira.Anyways ipo siku mtaunbuka tu.
Yalinunuliwa yale ndo yamekuja huko kwenu chama...baleke..mkude..TFF warudie tena kuangalia ile match 5imba anakojolewa bao 5 na Yanga
💩🤣💩 5imba anapigwa bao 5 wachezaji hata hawanuni ndio kwanza wanapongezana na wachezaji wa Yanga
Manara alitanguliaYalinunuliwa yale ndo yamekuja huko kwenu chama...baleke..mkude..