Tunajua huo mtego. Mtamnyakua fasta kama HamadiPeleka CV zako upewe kazi ya kuwa coach wa SBS
Leo kuna wasanii wa Cheka Tu nimewaona jukwaani. Kuna jambo watakuwa wamejifunza leo litawasaidia katika uigizaji wao.Wamefunga goli dakika 92 kati ya 94, badala ya kuforce mpira uanze haraka, wao ndio wakageuka wapoteza muda. Wakakusanyana kwenye kona kushangilia na kupiga dua.
Mechi au ushuzi?
Kuna timu ina coach wa MILELETunajua huo mtego. Mtamnyakua fasta kama Hamadi
we umegundia nini?Ni kati ya mechi za hovyo sana kuwahi kushuhudia kwenye ligi yetu.Timu inaongozwa 2:1,dakika zimeisha,mnapata faulo mnapoteza muda nyie wenyewe?.Pale wangekuwa wanacheza na Simba Singida wote wangejazana golini kwa Simba ile faulo apige Golikipa,tena wangekuwa na haraka ya hatari,lakini ndio kwanza wanasubiri refa amalize mpira.Anyways ipo siku mtaunbuka tu.
Ila utopolo ni kichekesho ..Mimi nasubiri tarehe 3 tu mamaeh.Wamefunga goli dakika 92 kati ya 94, badala ya kuforce mpira uanze haraka, wao ndio wakageuka wapoteza muda. Wakakusanyana kwenye kona kushangilia na kupiga dua.
Mechi au ushuzi?
Mpira umewashinda mmegeuka madalali wa makocha.Kuna timu ina coach wa MILELE
Au hujui kuwa Ramovic yupo CR Beilouzdad na Yanga hatulalamiki
Kunywa maji mengi kuondoka msongo wa mawazoMpira umewashinda mmegeuka madalali wa makocha.
Ubaya Ubwela. Mnatumia nguvu kubwa sana kushindania nafasi ya piliKunywa maji mengi kuondoka msongo wa mawazo
๐ ๐ ๐ Yanga bingwaUbaya Ubwela. Mnatumia nguvu kubwa sana kushindania nafasi ya pili
Mkitoka na pwenti 3 Kigoma nipigwe ban ya wiki moja๐ ๐ ๐ Yanga bingwa
Sio kwamba Mashujaa ana udhamini wa GSM ?Mkitoka na pwenti 3 Kigoma nipigwe ban ya wiki moja