Kama kutamani tu ni dhambi, kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli?

Kama kutamani tu ni dhambi, kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli?

(Ayoub 31:1)

Nimeweka AGANO na macho yangu, nawezaje kumwangalia msichana na kumtamani?
 
Kwa hiyo na wewe umeweka agano na macho yako?. Mmeandikishana MoU?!
Ndio.

Na ikiwa una mke au mtoto, dada au Jirani anavaa nusu uchi, mavazi ya kubana yaaiyositiri uchi wake,huyo ni kahaba hata kama hajaenda kujipanga foleni kujiuza.
 
Nisiwe muongo, kwa siku nalala na wanawake wasiopungua 50 kimawazo. Hivyo mimi na mbingu ni pua na mdomo kama mfalme Sulesh
 
Back
Top Bottom