Ndio.Kwa hiyo na wewe umeweka agano na macho yako?. Mmeandikishana MoU?!
NDO maana CHADEMA wanadai katiba mpyaMathayo 5: 28
Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
MY TAKE:
Kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli? Labda awe kipofu, huku kukicha mizigo huku na kule humo.
Weka AGANO na macho Yako, usitamani hivyo,Kwa hiyo wewe huwa huna matamanio kabisa?
Ñs ninyi wanawake hamuendi pia?Atabaki Yesu pekeyake mbinguni
Huko mbinguni una uhakika kupo kweli?Mathayo 5: 28