Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
^We can easily forgive a child who is afraid of the darkness; the real tragedy of life is when men are afraid of the light.^Huko mbinguni una uhakika kupo kweli?
Jibu lako hilo hapo.Wivu wa Mafanikio ya Wengine ni Uchawi. Acha Uchawi.
mi nitaenda mi sina tamaa na nyashAtabaki Yesu pekeyake mbinguni
Atabaki Mariam pekeyakeÑs ninyi wanawake hamuendi pia?
🤣🤣Panga lilipita mkuuTo yeye na wewe una mzigo ili nitamani nisiende mbinguni?
Kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake mkuu, hapo Yesu alikuwa anamaanisha dhambi inaanzia moyoni, kabla hata ya mwilini. Kwani wewe kila mwanamke unayemtazama unatamani ukalale naye?Mathayo 5: 28
Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
MY TAKE:
Kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli? Labda awe kipofu, huku kukicha mizigo huku na kule humo.
Na wanawake wanaowataman wanaume wanapewa adhabu gn? Hali imebadilika utakuta jike linakukodolea machoMathayo 5: 28
Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
MY TAKE:
Kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli? Labda awe kipofu, huku kukicha mizigo huku na kule humo.
Jibu ni NDIYO, INAWEZEKANA.Mathayo 5: 28
Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake
Kama kutamani tu ni dhambi, kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli?
wee bibii wee umeanzaaUislam ni mwema sana, unatufundisha kuwa, hatuhukumiwi kwa matamanio yetu, tunahukumiwa kwa vitendo vyetu.
Unaongea kitu halisi?! Ni kweli hujawahi kumtamani mwanamke na hutamani mwanamke hapo ulipo. Au ndio unaongea tu kwa sababu umekunywa maji ya hiyo dini yakoJibu ni NDIYO, INAWEZEKANA.
Kuzini au kutamani kuzini ni dhambi, lakini kuwa na dhambi sio kigezo cha kutokwenda mbinguni. Kwa maana hiyo wapo wenye dhambi ambao wapo au watakwenda mbinguni.
Tazama hapa: Yahane 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Kwa hiyo neno hilo linatuonyesha kwamba suala la kwenda mbinguni kwa Mungu lipo
Pia tazama hii hapa: Warumi 3:23-25
23 kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;
24 wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu;
25 ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho
Neno hili linatuonyesha kuwa hakuna mwanadamu asiye mkosefu
Kwa hiyo tukilisoma kwa pamoja neno la Mungu, tutaona kuwa licha ya kuwa na dhambi, lakini wapo wateule wa Mungu watakaokwenda kukaa katika ufalme wake
🤣🤣🤣🤣🙌Basi nina hakika sura yako inatamanisha, suala la mzigo linajadilika!
Pengine hata hukusoma nilichoandika.Unaongea kitu halisi?! Ni kweli hujawahi kumtamani mwanamke na hutamani mwanamke hapo ulipo. Au ndio unaongea tu kwa sababu umekunywa maji ya hiyo dini yako