Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Unajichanganya sana,kama umesema asili yenu ilikuwa kuvaa magome ya miti au ngozi,kwanini tuliyaacha hayo mavazi tukavamia nguo za wazungu?
Ili ubaki kwenye uasili wako sharti utumie vitu vya asili vilivyotumiwa na tamaduni zenu,ukishaasha mavazi ya asili tayari umeenda kinyume na utamaduni,sasa wewe uvae chupi tena ile yenye inayopita katikati ya makalio halafu useme kwamba ndio asili yetu?
Kwa taarifa yako bado yapo makabila yanafunika sehemu nyeti tu na hata mengine wanaacha matiti wazi lakini husikii wakilaumiwa sababu ndio asili yao,mfano wamasai,wahadzabe nk.