Nimeupenda huu Uzi, sasahivi kuna kitu wanaita modern football, pengine wachezaji wengi wa zamani wangeshindwa, zamani tulizoea kumuona namba 6 akiwa mtu mwenye mapana mengi na pumzi nyingi saiv sio hivo mpira mipango na mbinu ,tazama Sergio busquet, mwili mdogo ,akili nyingi mfumo unambeba, sitamani kuwaona mabeki wa zamani kwani saivi mabeki ndo waanzilishi mashambulizi, tazama mfumo wa 3-4-3 utalijua hilo, shangaa kuona wafungaji wengi wanatengenezwa kutokea pembeni sio tena katikati,
Football inapokea mabadiliko kila kukicha na itazidi badilika.