Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa mtaalamu una utani na watu sasa.
Kuna beki gani wa maana pale chelsea wakuwazidi wakina NESTA,CANNAVARO,ROBERTO CARLOS,RIGOBERT SONG N.K. wote hawa kwa mateso waliyopata ni haki yao kustaafu soka.
Ukija kwa OTAMENDI, PEPE, CARVAJAL,MARCELO RAMOS N.K hakubakiza mtu. Chezea King Messi wewe.
Wewe hata ukibisha vipi hatukuelewi. Na ISLAND atakuletea video ujionee,,kama vipi ingia mwenyewe youtube na usisubiri kuhadithiwa au kuletewa.
Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe.
Messi is the greatest player ever! No doubt.
Uko sahihi mkuuNimeupenda huu Uzi, sasahivi kuna kitu wanaita modern football, pengine wachezaji wengi wa zamani wangeshindwa, zamani tulizoea kumuona namba 6 akiwa mtu mwenye mapana mengi na pumzi nyingi saiv sio hivo mpira mipango na mbinu ,tazama Sergio busquet, mwili mdogo ,akili nyingi mfumo unambeba, sitamani kuwaona mabeki wa zamani kwani saivi mabeki ndo waanzilishi mashambulizi, tazama mfumo wa 3-4-3 utalijua hilo, shangaa kuona wafungaji wengi wanatengenezwa kutokea pembeni sio tena katikati,
Football inapokea mabadiliko kila kukicha na itazidi badilika.