Kama kwa beki zile walifunga ingekuaje leo?

Kama kwa beki zile walifunga ingekuaje leo?

Mkuu hiyo game naikumbuka, Gatuso alimkaba Ronaldo kikatili sana
Gatuso mtu mbaya anaweza kukuuliza leo unataka nikukabaje kijana nikuhamishe namba au nikupe Sub.
Ronaldo alihaha pale SanSiro/Geusepe Meaza
 
Hao mabeki uchwara aliowataja mleta uzi washukuru Mungu hawajakutana na KING MESSI. Messi angewaziba midomo.
Wanakula mikono saba toka kwa The bavaria huyu Messi hakuwepo tena hapo Boateng tu alimpiga pini.
 
Kuna beki gani wa maana pale chelsea wakuwazidi wakina NESTA,CANNAVARO,ROBERTO CARLOS,RIGOBERT SONG N.K. wote hawa kwa mateso waliyopata ni haki yao kustaafu soka.

Ukija kwa OTAMENDI, PEPE, CARVAJAL,MARCELO RAMOS N.K hakubakiza mtu. Chezea King Messi wewe.

Wewe hata ukibisha vipi hatukuelewi. Na ISLAND atakuletea video ujionee,,kama vipi ingia mwenyewe youtube na usisubiri kuhadithiwa au kuletewa.

Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe.

Messi is the greatest player ever! No doubt.


Umejitahidi Kuuzunguka Mbuyu!!! Mimi Kitu Pekee Ninachoamini Katika Soka Ni Stats Coz Mamba Hazidanganyi....

Hoja Yangu ikopalepale! "MESI KACHEZA MICHEZO MINGAPI VS CHELSEA NA KAWAFUNGA MAGOLI MANGAPI?""

Hapo Ndiyo Tutajua Kuwa Alikabika Au Hakukabika..
Jibu Kwa Stats na si Porojo...
 
BEKI GANI ALIWAHI KUMKABA GAUCHO MTAJENI,GAUCHO NI MUNGU WA MPIRA NILIYEPATA KUMWONA
 
Nimeupenda huu Uzi, sasahivi kuna kitu wanaita modern football, pengine wachezaji wengi wa zamani wangeshindwa, zamani tulizoea kumuona namba 6 akiwa mtu mwenye mapana mengi na pumzi nyingi saiv sio hivo mpira mipango na mbinu ,tazama Sergio busquet, mwili mdogo ,akili nyingi mfumo unambeba, sitamani kuwaona mabeki wa zamani kwani saivi mabeki ndo waanzilishi mashambulizi, tazama mfumo wa 3-4-3 utalijua hilo, shangaa kuona wafungaji wengi wanatengenezwa kutokea pembeni sio tena katikati,

Football inapokea mabadiliko kila kukicha na itazidi badilika.
Uko sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom