Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Umeeleweka! Kwamba ujinga wenu unatokana na kutumia makalio kufikiri. Asante kwa ufafanuzi.Madhara ya kutumia makalio kufikiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeeleweka! Kwamba ujinga wenu unatokana na kutumia makalio kufikiri. Asante kwa ufafanuzi.Madhara ya kutumia makalio kufikiri
Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko?
Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu akitokea kutaka kumchallenge haiwezekani? Hebu mjihoji kabla ya kulalalama.
Hivi kwa yanayoendelea sasa hivi mnashindwa kuona hiyo minyukano iliyoko huko CCM ni makundi ya maslahi tuu na jinsi yanavyo igharimu nchi?Ukitazama upinzani unakosa kuona mbadala wa CCM.
They have nothing new to offer.
Ufisadi, ubinafsi , matumizi mabaya ya madaraka, makundi
Yamo huko upinzani kifupi kama nchi tunakosa mbadala wa mawazo na matendo ambayo yako chanya na niya kizalendo sio ya kipigaji.