MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #261
Soma kanuni. Mtu yeyote aliye ajiriwa rasmi( Ajira rasmi) wakati wa saa za kazi asipokuwepo eneo lake la kazi pasipo idhini ya mamlaka zake za juu anachukuliwa hatua za kinidhamu.
Absent without leave( AWOL).
Anayemchukulia hizo hatua za kinidhamu nani?? Bashite?? Akamate akina Zitto Kabwe??