Vipimo vinatumia "Polymerase Chain Reaction(PCR)", ambapo hiyo chain yenyewe ni RNA ambayo ni genetic material inayopatikana ndani ya kirusi husika, hiyo reaction ili itokee kutengeneza hiyo " Polymer" lazima reagents zigusane na RNA ya kirusi, bila kuwepo kwa hiyo RNA hakuwezi kutokea reaction.wewe usiwe boya kwa hivyo vipimo viliidhinishwa kupima mapapai ? kwa watu wa computer tunasema garbage in garbage out GIGO mbona hamsemi kuhusu hivyo vitu ilivyosoma negative or undetermined
Sent using Jamii Forums mobile app