Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

wewe usiwe boya kwa hivyo vipimo viliidhinishwa kupima mapapai ? kwa watu wa computer tunasema garbage in garbage out GIGO mbona hamsemi kuhusu hivyo vitu ilivyosoma negative or undetermined
Vipimo vinatumia "Polymerase Chain Reaction(PCR)", ambapo hiyo chain yenyewe ni RNA ambayo ni genetic material inayopatikana ndani ya kirusi husika, hiyo reaction ili itokee kutengeneza hiyo " Polymer" lazima reagents zigusane na RNA ya kirusi, bila kuwepo kwa hiyo RNA hakuwezi kutokea reaction.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unatulisha matango pori wakati bado ni mchana?. Hakuna kirusi kipywa kinachotengenezwa wakati wa kutengeneza chanjo" vaccines ", wanatumia " genetic material" ya kirusi husika, au wanatumia kirusi chote kizima ambacho kimevunjwa nguvu hakiwezi kusababisha ugonjwa" Atinuated", au wanatumia " protein from outer layer of virus".

Katika upimaji, vipimo vinavyotumika ni polymerize Chain Reaction( PCR), ambapo reagent lazima ikutane na RNA ya kirusi ndio reaction iweze kutokea, bila RNA ya kirusi husika reaction haiwezi kutokea, ikitokea.

Kama imetokea kwenye Mbuzi, basi huyo mbuzi lazima awe ameambukizwa na hiyo virus, hivyo ndivyo inavyogundulika kwamba kuna baadhi ya wanyama au wadudu wenye kuambukizwa virus mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema exactly nilichosema kwa maneno tofauti.

Kulingana na comment za niliekua namjibu nilijudge intelligence yake ndo nikasema tena in quotes "kutengeneza".
Am not an expert in this but some basic knowledge and some common sense itakuambia kwamba kama anachopewa mnyama ni engineered then kipimo pia ni engineered na sio exactly the same na ya binadam ambae atakua ameambukizwa the actual virus. Sihitaji kua mtaalam kujua that much.
 
Bado unakosea, hakuna mnyama anayepewa kitu chochote. Kilichotokea ni kuchukua "samples" kutoka kwa wanyama na vitu tofauti na kuchanganya na "specific reagents" ambazo zina " react" na RNA ya Virus vya Corona tu, kukitokea "reactions", maana take kwamba hiyo sample ndani yake kuna RNA za virusi vya Corona, kama hakuna RNA hakuwezi kutokea" reactions" na vipimo vitasoma "Negative"

K

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu kuna watu hawana akili ila hawajijui Kama hawana akili ndio maana nimeamua kuwaangalia tu ukiwaelimisha ni sawa na kumuelimisha chizi aishi maisha ya mtu mwenye akili timamu
Bado unakosea, hakuna mnyama anayepewa kitu chochote. Kilichotokea ni kuchukua "samples" kutoka kwa wanyama na vitu tofauti na kuchanganya na "specific reagents" ambazo zina " react" na RNA ya Virus vya Corona tu, kukitokea "reactions", maana take kwamba hiyo sample ndani yake kuna RNA za virusi vya Corona, kama hakuna RNA hakuwezi kutokea" reactions" na vipimo vitasoma "Negative"

K

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*face palm*
Bado unakosea, hakuna mnyama anayepewa kitu chochote.
So in 1st stage clinical trial no animal is infected with anything?
Kilichotokea ni kuchukua "samples" kutoka kwa wanyama na vitu tofauti na kuchanganya na "specific reagents" ambazo zina " react" na RNA ya Virus vya Corona tu,
Hii sample inachukuliwa kutoka kwa mfano panya alafu inachanganywa kwenye nini?
alafu hiyo bado ni clinical trial?
Unavosema "specific reagent", ni specific to just RNA ama host pia?
kukitokea "reactions", maana take kwamba hiyo sample ndani yake kuna RNA za virusi vya Corona, kama hakuna RNA hakuwezi kutokea" reactions" na vipimo vitasoma "Negative"
While unajibu swali la hapo juu, kama haitegemee host, je unaweza kupima maji kama kuna corona kutumia reajent hizo hizo?
 
So according to your statement the problem was lab technicians and not test kits, alright?
Mbona unakuwa na kichwa kigumu hivi? Nimetumia "au" mbili ikimaanisha kuwa kuna possibilities tatu.
 
haya yote JF wametuwekea hapo chini ya desktop yao
Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga - JamiiForums
1588708319732.png

Ugonjwa wa Korona
Kirusi cha korona husafilishwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu (zoonotic disease).

Baadhi ya wanyama ambao hutunza virusi vya korona na kuleta maradhi ni; Popo, Ngamia na wengine

2337050_3.jpg
 
Wachina wametupiga changa la macho,monbasa kuna dereva kapimwa uganda,kaonekana positive,karudi monbasa kapimwa sehemu mbili tofauti yupo negative
 
Nimeskliza hotuba ya Magufuli kwamba kwa mbinu za kisiri walipeleka sampuli za mananasi, mafenesi, oil ya gari na vitu vingine vingi vikakaguliwe kwenye maabara ili kubaini hizi positives zinazotajwa, hizo sampuli zikaonekana kuwa na corona.

Hii inatisha sasa kama ni kweli, aidha

- Watanzania waliopo kwenye maabara ni wazembe wa kufa mtu, hivyo watasema negative au positive kwa chochote bila kuwa makini.
- Hivi vifaa vya kupima Corona vimehujumiwa na kuna kitu kinasukwa cha kutumaliza Afrika.
- Hao waliosema wamepeleka mananasi iwe wanamdaganya rais

Hiyo hotuba itaibua mengi sana, na inaweza ikajadiliwa mpaka Ulaya, maana leo hii tunaambiwa na kuona watu wanakufa kona zote za dunia, so kwa kifupi hawa watu kitu gani kinawaua jameni. Duh! hili lijadiliwe duniani.

wee jamaa bendera fuata upepo. Umewaambia watu wa mombasa wakapime wasimsikilize magufuri na watanzania. eti watz hawataki kupima corona(mass testing)
hapa unasema kama kweli papai na mbuzi na kware vilikutwa positive basi iko haja ya kulijadili hil ikwa mapana.
Magufuli ni mwnasayansi, amepitia mitihani(misukosuko mingi) anawajua wazungu. ndiyo maana haendi kwao.
Afrika mashariki tushirikiane kuutokomeza huu ugonjwa tutaushinda.Tuache siasa chafu buda.
Madagascar kuna dawa twendeni tukachukue.
 
Inawezekana unachosema kikawa kweli maana Brazil walikaidi kama Tanzania, imewatokea puani rais wao ameshindwa hajui la kufanya, hivyo Tanzania ikidunda kama Brazil, Magufuli anaweza akalaumiwa sana na ikawa anguko la CCM rasmi.
Kwa hivyo lazima mlango wa kutokea utafutwe kwa nguvu zote, hawa jamaa online wataikimbiza sana mpaka WHO ilaumiwe kwa hujuma.
hebu kuwa na msimamo. umesimamia wapi? ukichanganywa kidogo tu unahama.
 
wee jamaa bendera fuata upepo. Umewaambia watu wa mombasa wakapime wasimsikilize magufuri na watanzania. eti watz hawataki kupima corona(mass testing)
hapa unasema kama kweli papai na mbuzi na kware vilikutwa positive basi iko haja ya kulijadili hil ikwa mapana.
Magufuli ni mwnasayansi, amepitia mitihani(misukosuko mingi) anawajua wazungu. ndiyo maana haendi kwao.
Afrika mashariki tushirikiane kuutokomeza huu ugonjwa tutaushinda.Tuache siasa chafu buda.
Madagascar kuna dawa twendeni tukachukue.

Angalia tofauti ya tarehe kwenye nyuz zote mbili, hiyo ya kwanza nilipandisha siku hiyo hiyo punde baada ya hotuba, ila siku kadhaa nimepita jukwaa lenu la siasa na kupata picha kamili, kwamba hayo mambo ya mapaipai na maparachichi ni tikitaka za siasa tu mnacheza huko kumbe na ndio maana nawarai ndugu zangu wa Mombasa wasiingie kuwaiga nyie watu bila kutafakari.
Nyie huwa na aina yenu ya siasa ambayo ipo kwenu tu, yaani mkuu wa mkoa wa Dar anatishia kuwakamata wabunge kisa hawapo Dodoma, sijaiskia hiyo nchi yoyote duniani hata kule kwa Kim wa Korea Kaskazini.
 
hebu kuwa na msimamo. umesimamia wapi? ukichanganywa kidogo tu unahama.

Mimi na wewe tuko tofauti maana wewe umelemazwa na ujamaa ambao uliwafundisha kuwa na mtazamo mmoja bila kushirikisha ubongo wa kujiongeza, mimi nipo kwenye mfumo wa kibepari unaonipa uhuru wa kutafakari na kubadilisha mitazamo kulingana na mahesabu ninayopiga na kudadavua.
 
You argue like a class two kid. The kits were made specifically for human corona virus and that's why you haven't seen HIV being tested on those kits. Thermometer was also made for temperature readings and not salinity or pH. So you can't take goat's samples and test them in the human test kits and expect to achieve a correct outcome. It's like testing the functionality of ARVs drugs on someone suffering from malaria.
So, you're smarter than washauri wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You argue like a class two kid. The kits were made specifically for human corona virus and that's why you haven't seen HIV being tested on those kits. Thermometer was also made for temperature readings and not salinity or pH. So you can't take goat's samples and test them in the human test kits and expect to achieve a correct outcome. It's like testing the functionality of ARVs drugs on someone suffering from malaria.
USA walimpima mbwa akakutwa na corona! Hivi mbwa ni binadamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Testing kits ni kweli zinamatatizo qmbayo hata India walishadokeza ila bado haiondoi ukweli ya kwamba Covid-19 IPO na inaua haswa...

Kupata false results za machine yoyote in zao za mambo mengi achilia mbali kifaa chenyewe. Inawezekana sampuli imekuwa contaminated, inawezekana kabisa standard reagents zikawa haziko sawa, inawezekana kabisa kumekuwa na poor calibration ama basi wrong samples.

Rais ni mkemia but hapa kashindwa kujua huu mlolongo wote na kumtupia zigo mtu ili yy ionekane anachosema cha udogo was tatizo LA corona ni sahihi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia tofauti ya tarehe kwenye nyuz zote mbili, hiyo ya kwanza nilipandisha siku hiyo hiyo punde baada ya hotuba, ila siku kadhaa nimepita jukwaa lenu la siasa na kupata picha kamili, kwamba hayo mambo ya mapaipai na maparachichi ni tikitaka za siasa tu mnacheza huko kumbe na ndio maana nawarai ndugu zangu wa Mombasa wasiingie kuwaiga nyie watu bila kutafakari.
Nyie huwa na aina yenu ya siasa ambayo ipo kwenu tu, yaani mkuu wa mkoa wa Dar anatishia kuwakamata wabunge kisa hawapo Dodoma, sijaiskia hiyo nchi yoyote duniani hata kule kwa Kim wa Korea Kaskazini.
Soma kanuni. Mtu yeyote aliye ajiriwa rasmi( Ajira rasmi) wakati wa saa za kazi asipokuwepo eneo lake la kazi pasipo idhini ya mamlaka zake za juu anachukuliwa hatua za kinidhamu.
Absent without leave( AWOL).
 
Testing kits ni kweli zinamatatizo qmbayo hata India walishadokeza ila bado haiondoi ukweli ya kwamba Covid-19 IPO na inaua haswa...

Kupata false results za machine yoyote in zao za mambo mengi achilia mbali kifaa chenyewe. Inawezekana sampuli imekuwa contaminated, inawezekana kabisa standard reagents zikawa haziko sawa, inawezekana kabisa kumekuwa na poor calibration ama basi wrong samples.

Rais ni mkemia but hapa kashindwa kujua huu mlolongo wote na kumtupia zigo mtu ili yy ionekane anachosema cha udogo was tatizo LA corona ni sahihi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ametoa option zaidi ya mbili
1: VIFAA vina shida
2: Who wafanyie kazi
3: Nchi zingine wafanye test pia kuchunguza
 
MK254,
Magufuli has messed up. Anatafuta pa kutokea lakini this time mtego wa panya umenasa panya. Hamna pa kutokea. Hata WHO wamekashifu magufuli for lacklustre performance.

Unapoongelea WHO kwanza kumbuka unaongelea taasisi namba moja kufeli duniani dhidi ya ugonjwa huu wa Covid-19,WHOhawapo kushughulika na wewe muafrika,hawapo kujali afya yako,wapo kufanya kazi za watu wengine.

Kumbuka pia hata Marekani wameilaumu WHO kwa kuwa chanzo cha kuenea kwa ugonjwa huu na kuficha ukweli.
Kumbuka Magufuli alipotumia wanyama na matunda na majibu yakaja vile,bado hakutoa kauli ya moja kwa moja,aligawa utafiti wake katika sehemu kadhaa na kutaka WHO na wao kuchunguza,akataka na maabara yetu kuchunguzwa,hilo silo jambo jipya sana,hata China ililaumiwa kwa kutangaza wagonjwa ambao hawakuumwa na kuficha wagonjwa walioumwa.

Kumbuka pia,raisi Magufuli kapima wanyama lakini mataifa mengine na wao waliwahi kupima wanyma,unafikiri ngami ilivyosemekana kwamba ana sababisha virusi yeye na popo walipimwa na wanyama wenzao,walipimwa na binadamu,lakini kwanini hili mlilikubali mwanzo,sawa hapo hoja kuu ni mzungu,hili ndo tatizo la mtu kuwa na rangi nyeusi,alishatawala akili zaidi kuliko mwili.

Kingina vifaa vingi vya kupima Corona vimelalamikiwa na mataifa m,engi,hao wanaobisha huwa najiuliza huwa wanafuatilia case za wagonjwa wapya na vifo peke yake au kuna taarifa nyingine wanafuatailia kuhusu Corona.
Ila mwisho WHO wanatoa kozi mbalimbal;i za magonjwa,karibu sana ujiunga,utapata na cheti angalau utambishie wengine.
 
Back
Top Bottom