MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #201
Unafikiri vyombo vya usalama walikuwa wanapima corona? Walitaka kujua ufanisi wa vifaa vya maabara au wataalam kama wanaweza tambua samples za uongo au kama baadhi ya test kit zimehujumiwa.
Ukiiendea kichwa kichwa hii huwezi kuielewa.
Ongea na ndugu yako MK254 muulize wakati anapofanya design pattern kwenye kutengeneza logic ya kuingiza data kwenye server, muulize kama hatengenezi logic statements zinazoangalia kwanza kama data ziko sawa kabla hazijaingizwa kwenye server. Muulize kama sehemu ya kuweka umri ataruhusu mtu kuweka miaka 382 au characters za regex kama (.*).
Hehehe!! Huwa nafurahi mnavyotumia nguvu nyingi kutetea kila kauli anayoibuka nayo mkulu wenu, huyo Teargass yuko sahihi sema unakua mbishi tu.
Hata nikitumia mfano uliotolea wa system designs, kwenye data structures, validation and algorithms kuna kitu huwa tunaita "white or black listing", hii huwa tunatumia pale hauna uhakika wa aina ya data unazopokea, kama hazipo defined moja kwa moja.