KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia :
- Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
- CCM ikibweteka bila kufanya lolote ikitegemea mbeleko ya tume lakini kwa kuwa mbeleko hiyo haipo tunaona ni jitihada za namna gani zinazotumiwa na CCM ili kupambana kushinda.
- CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.