Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema ukweli mtupuMwenyekiti wa tume huteuliwa na rais, hivi huoni aibu kuandika ujinga?
Mtaani kwetu nimewaona Vijana wa Chadema wakifanya kampeni ya uchaguz wa mwenykt wa mtaaWananchi wameacha kujitokeza kujiandikisha kwenye huo upuuzi uitwao uchaguzi, nadhani mmeona idadi ya wanaccm ilivyo ndogo. Mtapika sana idadi ya wapiga kura maana safari hii wale mnaowaibiaga wamepuuza huo uchaguzi.
Na mwendo ni huu huu hata uchaguzi mkuu tutashusha idadi ya wapiga kura ili tuwaonyeshe ni kwa kiwango gani tumewachoka. Shirikianeni na hiyo tume na vyombo vya dola kutengeneza kura fake, na viongozi wenu huku mtaani hatuwapi ushirkiano maana hatujawachagua.
Ni haki yao.Mtaani kwetu nimewaona Vijana wa Chadema wakifanya kampeni ya uchaguz wa mwenykt wa mtaa
Hoja ya kipumbavu kabisa hiiKwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia :
- Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
- CCM ikibweteka bila kufanya lolote ikitegemea mbeleko ya tume lakini kwa kuwa mbeleko hiyo haipo tunaona ni jitihada za namna gani zinazotumiwa na CCM ili kupambana kushinda.
- CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.
Siku zao zinahesabika hao washenziShetani/muovu hawana aibu.