KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Comments reservedKwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia :
- Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
- CCM ikibweteka bila kufanya lolote ikitegemea mbeleko ya tume lakini kwa kuwa mbeleko hiyo haipo tunaona ni jitihada za namna gani zinazotumiwa na CCM ili kupambana kushinda.
- CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.
Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iliyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia :
- Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
- CCM ikibweteka bila kufanya lolote ikitegemea mbeleko ya tume lakini kwa kuwa mbeleko hiyo haipo tunaona ni jitihada za namna gani zinazotumiwa na CCM ili kupambana kushinda.
- CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.
Mwenyekiti wa tume huteuliwa na rais, hivi huoni aibu kuandika ujinga?CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.
Wapinzani wanatangazwa washindi baadhi ya maeneo ili CCM kuficha aibu yao ya wizi wa kura ili ionekane uchaguzi ni huru na haki.Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
Anawabishia hata watendaji wakuu wa chama huyu ni chawa asiyejitambua kabisaHaihitaji hata kuwa na degree ya kwanza kujua kuwa CCM inabebwa na vyombo vyote vya dola kwenye chaguzi zote.
Hii nchi inavilaza wa kutokaKwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia :
- Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
- CCM ikibweteka bila kufanya lolote ikitegemea mbeleko ya tume lakini kwa kuwa mbeleko hiyo haipo tunaona ni jitihada za namna gani zinazotumiwa na CCM ili kupambana kushinda.
- CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.
Wapinzani wanatangazwa washindi baadhi ya maeneo ili CCM kuficha aibu yao ya wizi wa kura ili ionekane uchaguzi ni huru na haki.
Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia :
- Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
- CCM ikibweteka bila kufanya lolote ikitegemea mbeleko ya tume lakini kwa kuwa mbeleko hiyo haipo tunaona ni jitihada za namna gani zinazotumiwa na CCM ili kupambana kushinda.
- CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.
Upo sahihi...wapinzani hutangazwa kama HATUA YA MWISHO baada ya jitihada zote za kuwanyima haki kushindikana.
..mamlaka zikiona kunaweza kutokea vurugu, na hazina uwezo wa kudhibiti vurugu hizo, ndipo wapinzani hutangazwa washindi.
Wananchi wameacha kujitokeza kujiandikisha kwenye huo upuuzi uitwao uchaguzi, nadhani mmeona idadi ya wanaccm ilivyo ndogo. Mtapika sana idadi ya wapiga kura maana safari hii wale mnaowaibiaga wamepuuza huo uchaguzi.Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia :
- Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
- CCM ikibweteka bila kufanya lolote ikitegemea mbeleko ya tume lakini kwa kuwa mbeleko hiyo haipo tunaona ni jitihada za namna gani zinazotumiwa na CCM ili kupambana kushinda.
- CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.
Kwani kila mtu lazima ajibiwe? Tuwe tunaangalia hoja zenye akili za kujibu. Zenye kutanua ufahamu na kujenga taifa imara na penye Amani siyo hz pumba. Aliyeandika naamini anajitambuaKwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia :
- Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa upinzani sehemu mbalimbali basi ni dhahiri CCM haibebwi kwa namna yoyote.
- CCM ikibweteka bila kufanya lolote ikitegemea mbeleko ya tume lakini kwa kuwa mbeleko hiyo haipo tunaona ni jitihada za namna gani zinazotumiwa na CCM ili kupambana kushinda.
- CCM ikijitangaza wameshinda kabla ya pambano lakini kwa sababu mshindi anatangazwa na tume, CCM wanatangazwa na tume.
Shetani/muovu hawana aibu.Mwenyekiti wa tume huteuliwa na rais, hivi huoni aibu kuandika ujinga?