Pre GE2025 Kama kweli CCM ingekuwa inabebwa na Tume Huru ya Uchaguzi, tungeshuhudia...

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama kinapitia wakati mgumu sana. Hapa anaona ametoa bonge la hoja.

Basi tujibu na hii, Kwanini CCM wanapinga mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi kama kweli wanashinda kihali?
 
Mtaani kwetu nimewaona Vijana wa Chadema wakifanya kampeni ya uchaguz wa mwenykt wa mtaa
 
Hoja ya kipumbavu kabisa hii
 
Hiyo inaitwa uma na kupuliza. Ccm haiwezi kutoboa kwa Hawa Genz wa 2000 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…