Kama kweli CHADEMA walihitaji kiongozi safi, muadilifu na anaechukia rushwa, bilashaka sasa watamuunga mkono Dr.Emmanul Nchimbi

Kama kweli CHADEMA walihitaji kiongozi safi, muadilifu na anaechukia rushwa, bilashaka sasa watamuunga mkono Dr.Emmanul Nchimbi

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kinyume na hapo watakua wanaendeleza unafiki wao ule ule wa sitaki nataka na tamaa za uongozi. Asubuhi anautaka umakamu, jioni anautaka uenyekiti kamili.

Na safari hii hakuna makapi kutoka CCM, uadilifu na uzoefu ndio msingi wa uongozi wa nchi kuelekea 2030🐒

Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

Mungu Ibariki Tanazania

CCM watachukia rushwa wakati chama kinaendeshwa na rushwa!! Hii nchi imejaa rushwa chini ya utawala wa chama kimoja tu cha CCM.
 
Back
Top Bottom