Kama kweli CHADEMA walihitaji kiongozi safi, muadilifu na anaechukia rushwa, bilashaka sasa watamuunga mkono Dr.Emmanul Nchimbi

kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi anataka eti mkaolewe ubeligiji na wanaume wenzenu, eti hiyo ndio agenda yake ya kwanza na fursa ya vijana wa chadema kupata nafasi ya kuishi nje, dah!🐒🤣
 
Huyu si makamu tu? Huyu hana effect yoyote.

ukiona vyaelea ujue vimeindwa gentleman 🐒
 
Dr Nchimbi, mwanasiasa mbobevu haswaa. Leo watu wamepigwa na kitu kizito baada ya mwamba huyu kupenya no. 2
 
Kwahiyo umekubali veggies kuna rushwa? 😹
nilisema kinabii kwenye jukwaa hili hili September 2024 kwamba Dr Emmanuel Nchimbi ni agenda ya Taifa 2030,

hayo mengine sikusema na si yangu mtumishi 🐒
 
Dr Nchimbi, mwanasiasa mbobevu haswaa. Leo watu wamepigwa na kitu kizito baada ya mwamba huyu kupenya no. 2
Adam Kimbisa, Dr. Emanuel Nchimbi na Dr.Samia Suluhu Hassan 2015 lengo lao lilikua moja japo halikufanikiwa, na sasa wanepata fursa na wanalitimiza IPASAVYO 🐒
 
Kuna mtu tupo ft 6 chini ila kwa namna alivyokuwa na timu smart ni kama ndio kiongozi wa taifa hili kwa sasa. Kuna uwezekano waziri mkuu naye akatokea upande wa ule ushirika. A very good calculated move. Wenyewe wanasema, "Agenda 2030"
 
niliandika haya Sept 2024 kumuhusu Nchimbi baada ya Kimbisa kua mwenekiti wa CCM Dodoma, huku Nchimbi akiteuliwa kua SG wa CCM kutoka ubalozi 🐒
 
Hakika ulikuwa sahihi. Kwenye hii post mimi nilicomment post no. 2 siti ya mbele kabisa ha ha
 
Back
Top Bottom