Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakumbuka akiwa waziri wa mambo ya ndani mwandishi wa habari mwangosi alitolewa utumbo mchana kweupe damu ya mwangosi itamlilia daima mpaka umauti wake Mungu yupo.Kinyume na hapo watakua wanaendeleza unafiki wao ule ule wa sitaki nataka na tamaa za uongozi. Asubuhi anautaka umakamu, jioni anautaka uenyekiti kamili.
Na safari hii hakuna makapi kutoka CCM, uadilifu na uzoefu ndio msingi wa uongozi wa nchi kuelekea 2030🐒
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Mungu Ibariki Tanazania
yaani muuane huko kwa hila, uhasama na viburi vyenu huko, halafu damu imlilie asie husika,nakumbuka akiwa waziri wa mambo ya ndani mwandishi wa habari mwangosi alitolewa utumbo mchana kweupe damu ya mwangosi itamlilia daima mpaka umauti wake Mungu yupo.
Chadema siyo chama cha siasa ni kikundi Cha shinikizo, (pressure group)Kinyume na hapo watakua wanaendeleza unafiki wao ule ule wa sitaki nataka na tamaa za uongozi. Asubuhi anautaka umakamu, jioni anautaka uenyekiti kamili.
Na safari hii hakuna makapi kutoka CCM, uadilifu na uzoefu ndio msingi wa uongozi wa nchi kuelekea 2030🐒
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Mungu Ibariki Tanazania
Muda unaoutumia kuitaja Chadema, ungetumika kuijenga CCM yetu ingekuwa Bora. Kadri unavyoisema vyema au vibaya ndivyo unavyowapa Chadema kujulikana na kutangazwa.Kinyume na hapo watakua wanaendeleza unafiki wao ule ule wa sitaki nataka na tamaa za uongozi. Asubuhi anautaka umakamu, jioni anautaka uenyekiti kamili.
Na safari hii hakuna makapi kutoka CCM, uadilifu na uzoefu ndio msingi wa uongozi wa nchi kuelekea 2030🐒
Soma:Breaking News: - Uchaguzi 2025 - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025
Mungu Ibariki Tanazania
infact,Muda unaoutumia kuitaja Chadema, ungetumika kuijenga CCM yetu ingekuwa Bora. Kadri unavyoisema vyema au vibaya ndivyo unavyowapa Chadema kujulikana na kutangazwa.
No commentinfact,
hakunaga kipimo cha muda au nguvu kusema ukweli gentleman,
Yes,
chadema inajulikana kwa chuki, uhasama wa viongozi wake wakuu na imegawanyika.
Ni muhimu hili likajulikana na kutangazwa zaidi kwa sababu hila miongoni mwa wanachadema ni za kweli gentleman 🐒