Kama kweli CHADEMA walihitaji kiongozi safi, muadilifu na anaechukia rushwa, bilashaka sasa watamuunga mkono Dr.Emmanul Nchimbi

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Tafuta kazi ya kufanya
kazi kubwa ni kuhakikisha wazalendo na waadilifu wa kitafa wanaungwa mkono na vyama vyote vya siasa nchini bila mihemko wala makasiriko gentleman πŸ’
 

CCM watachukia rushwa wakati chama kinaendeshwa na rushwa!! Hii nchi imejaa rushwa chini ya utawala wa chama kimoja tu cha CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…