Kama kweli Corona imerudi tutaisikia bungeni kwenye mkusanyiko wa nchi nzima!

Kama kweli Corona imerudi tutaisikia bungeni kwenye mkusanyiko wa nchi nzima!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni.

Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba watu kutoka pande zote za nchi hii bara na visiwani.
Lakini wabunge ndio watu pekee ambao hukaa ndani kwa muda mrefu kama kundi wakiwa wamejifungia milango na madirisha yaani full kiyoyozi.

Nafahamu Kanisani na Msikitini milangi huwa haifungwi hadi waumini wote waondoke.

Hivyo bunge ni kipimo sahihi cha mambo mengi ya kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
 
Naamin watakuwa hawavai barakoa ktk hicho kikao... Wakivaa watakuwa wanamkejeri rais....
 
tuacheni utani haka koro cha sasahivi ni kakali atari.hata ukiwa physical fit kanakutingisha hadi uombe poo
 
Back
Top Bottom