Kama kweli Corona imerudi tutaisikia bungeni kwenye mkusanyiko wa nchi nzima!

Mh spika
Hatujaambiwa kama imerudi..
Ila wamegundua dawa..
Mh spika,
Ningeomba waziri atufafanulie..
Majaribio ya dawa yalifanywa Nchi gani??
maana Tz hatuna korona...
Majaribio hayo yalihusisha wagonjwa wangapi? wakiwa katika hali gani?

alisikika mbunge mmoja kutoka jimbo la BongoSihami
 
Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni.

Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba watu kutoka pande zote za nchi hii bara na visiwani.
Lakini wabunge ndio watu pekee ambao hukaa ndani kwa muda mrefu kama kundi wakiwa wamejifungia milango na madirisha yaani full kiyoyozi.

Nafahamu Kanisani na Msikitini milangi huwa haifungwi hadi waumini wote waondoke.

Hivyo bunge ni kipimo sahihi cha mambo mengi ya kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo unataka kuwatumia wabunge kama specimen?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni shida sana kuwa kiongozi mteule kwa sasa, maana hutaweza kusema unachojua kuwa ni sahihi, bali kile mteuzi wako anachokijua yeye.
Uzuri watu wanajua dhahiri kuwa mteule anaogopa kusema kwani wanaona mishipa inavyomtoka na uoga ulivyomjaa!
 
Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni.

Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba watu kutoka pande zote za nchi hii bara na visiwani.
Lakini wabunge ndio watu pekee ambao hukaa ndani kwa muda mrefu kama kundi wakiwa wamejifungia milango na madirisha yaani full kiyoyozi.

Nafahamu Kanisani na Msikitini milangi huwa haifungwi hadi waumini wote waondoke.

Hivyo bunge ni kipimo sahihi cha mambo mengi ya kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Bado una hisia za bunge hili kukupeleka pale utakapo?
 
Kwani Corona ilikuwa haipo Tanzania unaposema imerudi jamani mkuu
 
Bungeni kuna wale Covid-19 nimewaona wanaingia pamoja🤣
 
na Dodoma ilivyochafuka kwa huyu mdudu, mpaka bunge linaisha , tutasikia

Ni vyema ili tuamini... maana sasa wanatuchanganya, mara ipo mara tumeishinda vita, mara tujipinge nyungu na kila kitu.
 
Nakumbuka ile Corona ya awamu ya kwanza ni mbunge Mtulia ndiye aliyetupa uhakika kuwa ipo na tukaambiwa ametoka nayo jimboni kwake Kinondoni.

Ukifanya sampling bunge ndio chombo pekee kinachobeba watu kutoka pande zote za nchi hii bara na visiwani.
Lakini wabunge ndio watu pekee ambao hukaa ndani kwa muda mrefu kama kundi wakiwa wamejifungia milango na madirisha yaani full kiyoyozi.

Nafahamu Kanisani na Msikitini milangi huwa haifungwi hadi waumini wote waondoke.

Hivyo bunge ni kipimo sahihi cha mambo mengi ya kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Unataka kusema nini mbona hueleweki? Au kwako wewe ni bora umeandika tuu?
 
Tanzania inatia aibu Sana hawa ni comedians au
Hawa kweli ni comedian waliopewa kuongoza wizara nyeti kwa maisha ya Mtanzania.
Ona sasa baada ya kikombe cha babu sasa wamekuja na Kikombe cha Magu.
IMG_20210202_082515.jpg
 
Nasikitika sana wakwe zake na shemeji yangu tumbo moja na mke wangu walilazwa kwa changamoto ya kupumua , Baba juzi akafariki na usiku wa kuamkia leo tulivyokwenda kumuona mama tukakuta tayari naye katangulia mbele ya haki. Msiba uko Dar es salaam na taratibu za maandalizi ya mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu Buza .
 
  • Masikitiko
Reactions: Mj1
Back
Top Bottom