Koffi Yardley JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 620 Reaction score 496 Feb 2, 2021 #41 Watanyweshwa ile GWAJICAF asubuhi na NIMRICAF wakitoka kikaoni. Haugui mtu hapo. Usijeshangaa wapo ambao weshaonja vaccine ya KICHINA tayari na kwa hiyo NYUNGU na hata JAMIICAF watasema zatosha .... shubamitikenge zao.
Watanyweshwa ile GWAJICAF asubuhi na NIMRICAF wakitoka kikaoni. Haugui mtu hapo. Usijeshangaa wapo ambao weshaonja vaccine ya KICHINA tayari na kwa hiyo NYUNGU na hata JAMIICAF watasema zatosha .... shubamitikenge zao.
M Mj1 JF-Expert Member Joined Feb 21, 2017 Posts 1,033 Reaction score 980 Feb 2, 2021 #42 mysterio said: na Dodoma ilivyochafuka kwa huyu mdudu, mpaka bunge linaisha , tutasikia Click to expand... Yaani kwa kweli ........... Mungu atunusuru tu maana nikikumbuka vile vifo vya kina Mh. Mama Rwakatare, Mh. Maiga n.k. mh
mysterio said: na Dodoma ilivyochafuka kwa huyu mdudu, mpaka bunge linaisha , tutasikia Click to expand... Yaani kwa kweli ........... Mungu atunusuru tu maana nikikumbuka vile vifo vya kina Mh. Mama Rwakatare, Mh. Maiga n.k. mh