Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

Abdi Banda amenukuliwa na mtandao wa Kick Off Magazite wa South Africa

Banda is a former Simba player who has also been on the books of Baroka and Highlands Park but now features for Mtibwa Sugar in the Tanzania top league.

"Morrison is a guy that will be out to prove a point to Pirates considering what happened in the past. I think Morrison had some misunderstandings with Pirates before so I know he will be out to show them what he can do.

"He has that kind of mentality of always wanting to prove himself to those that doubt him, and he usually gets the job done.

"The other threat for Simba is Sakho (Pape Ousmane) otherwise they don’t have a good team like they did last season, and it shows in the gap between them and Yanga who are top of the standings

"When they played Chiefs last season they had a better team," says Banda adding that Mbatha will have to be engaged to neutralise Simba’s famous shenanigans.

"When Pirates come to Dar es Salaam, they must expect the worst and know that the battle will be beyond football because Simba is supported by politicians.

"Simba will have the referee in their pocket because Simba will give the referee money. Simba always uses dirty tactics when they play at home, but they obviously don’t have the kind of quality that Pirates so they will budget on winning at home by a wide margin.

"What I know is that Pirates is going to qualify for the semi-finals after the two legs. It would have been a risk if Pirates played in Johannesburg first.

"Pirates must make use of Senzo for the trip to Tanzania because he knows Tanzania very well and used to be at Simba before and is now at Yanga.

"Yanga will be happy to assist Pirates in whatever they need because they are enemies with Simba," says Banda.

Hawa Wasouth wanatumia jina la Banda kuonyesha hofu yao tu, hawana jipya, ni woga tu.

Vv
 
Mtanzania Abdi Banda ambae kwa sasa anachezea Mtibwa Sugar na Awali alichezea moja ya klabu iliyopo ligi kuu Afrika kusini amefanyiwa mahojiano na Kick Off magazine ya Afrika kusini na kunukuliwa haya

"Ninachojua pirates atafuzu kwenda nusu fainali baada ya mikondo miwili, ingekua hatari kama pirates wangeanzia Johannesburg kwanza"

"Simba itakuwa na mwamuzi mfukoni kwa sababu simba itampa mwamuzi fedha, Simba huwa wanatumia mbinu chafu wanapocheza nyumbani, lakini ni wazi hawana ubora unaolingana na pirates hivyo watapanga bajeti ya kushinda nyumbani kwa tofauti kubwa"

"Maharamia(Orlando pirates) wakija Dar es Salaam, lazima watarajie mabaya zaidi na wajue kuwa vita itakua zaidi ya soka kwa sababu Simba inaungwa mkono na wanasiasa "

"Orlando pirates lazima wamtumie Senzo watakapokuja Tanzania kwa sababu anaijua vema Tanzania na aliwahi kuwa Simba hapo awali na sasa yuko yanga . Yanga watakua na furaha kuwasaidia Yanga kwa lolote watakalokuwa wanahitaji kwa sababu ni maadui wa Simba"

"Wachezaji tishio walioko Simba kwa sasa ni Sakho na Bernard Morrison , vinginevyo hawana timu nzuri kama walivyokua msimu uliopita , na hii inaonesha hata pengo lililopo kati yao na Yanga walio kileleni mwa msimamo"

NB; Banda kama Gentamycine tu
 
Mtanzania Abdi Banda ambae kwa sasa anachezea Mtibwa Sugar na Awali alichezea moja ya klabu iliopo ligi kuu Afrika kusini amefanyiwa mahojiano na Kick Off magazine ya Afrika kusini na kunukuliwa haya

"Ninachojua pirates atafuzu kwenda nusu fainali baada ya mikondo miwili ingekua hatari kama pirates wangeanzia Johannesburg kwanza"

"Simba itakua na mwamuzi mfukoni kwa sababu simba itampa mwamuzi fedha, Simba huwa wanatumia mbinu chafu wanapocheza nyumbani, lakini ni wazi hawana ubora unaolingana na pirates hivyo watapanga bajeti ya kushinda nyumbani kwa tofauti kubwa"

"maharamia(Orlando pirates) wakija Dar es Salaam, lazima watarajie mabaya zaidi na wajue kuwa vita itakua zaidi ya soka kwa sababu Simba inaungwa mkono na wanasiasa "

"Orlando pirates lazima wamtumie Senzo watakapokuja Tanzania kwa sababu anaijua vema Tanzania na aliwahi kuwa Simba hapo awali na sasa yuko yanga . Yanga watakua na furaha kuwasaidia Yanga kwa lolote watakalokuwa wanahitaji kwa sababu ni maadui wa Simba"

" wachezaji tishio walioko Simba kwa sasa ni Sakho na Bernard Morrison , vinginevyo hawana timu nzuri kama walivyokua msimu uliopita , na hii inaonesha hata pengo lililopo kati yao na Yanga walio kileleni mwa msimamo"

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Homeless+Abdi banda+Tecno=
 
IKO HIVI SORRY KWA KUTUMIA CAPITAL LETTERS: CHA KWANZA HUYO DOGO HAPO TANGA WAMEMLA SANA MPALANGE INAJULIKANA TANGA MJINI SIYO SIRI, AKIWA SIMBA KAFANYA VITU VYA AJABU SANA KUHUJUMU REFER HATA ILE RED CARD VS UTOPOLO

ALIVYOPATA TEAM SOUTH AFRICA SIMBA ILIKUWA NA HALI MBAYA KIFEDHA ALIONDOKA KWA DHARAU SANA..SANA

KULE ALIKUWA GARASA ILA HATA AKIWEKWA BENCHI ILIKUWA LAZIMA APIGE SIMU KWA WAANDISHI UCHWARA ALIOKUWA ANAWALIPA VI RANDS KADHAA KUMSIFIA AONEKANE BONGE LA BEKI

ALIWAHI HATA KUMTUKANA KOCHA AMUNIKE, ANA HULKA ZA KIKE KAMA NILIVYOSEMA TANGA HAWAMSHANGAI NI JUMA LOKOLE FULANI

MAMBO YALIVYOHARIBIKA HUKO SOUTH AKAKOSA TEAM KUNA VIONGOZI WAWILI SIMBA WALIKUWA WANAMPIGIA DEBE LAST YEAR ASAJILIWE SIMBA(IMAGINE TEAM BADO INA MAJITU YA HIVYO ETI NI VIONGOZI)

ILIVYOSHINDIKANA NDIYO HASIRA ZOTE HIZI

**LAST YEAR ALISEMA SIMBA VS KAZIER CHIEFS ALISEMA SIMBA NI MBOVU INAHONGA MAREFA, INA FORGE VIPIMO VYA COVID 19 IKISHIRIKIANA NA SERIKALI

** THIS YEAR ANAKUAMBIA SIMBA YA LAST YEAR ILIKUWA BORA ILA SERIKALI INASHIRIKIANA NA SIMBA KUNUNUA WAAMUZI

MWAKA JANA MIMI ALINIUDHI SANA ILA NISHAGUNDUA NI MTU MWENYE STRESS ANATAFUTA PA KUZITOLEA MPUUZE MPUUZE KABISA SHAHAWA MPALANGENI SIYO KITU KIDOGO KAKA, HIZI MIND GAMES MWAKA HUU HAZIFANYI KAZI TENA

**MAKOCHA WAKUBWA WALIOKUTANA NA SIMBA WANA I APPRECIATE HATA WA AL MASRY JUZI KAISIFIA, IBENGE, MOSIMANE..KOCHA WA ASEC, WA GENADAMARIE HALAFU HUYO JUMA LOKOLE WA TANGA NDIYO UMSIKILIZE?
 
Still najiuliza ni Simba gani inayonunua waamuzi mpaka banda akapata taarifa kwani wakati yeye akiwa Simba ni wazi kabisa timu haikua ikicheza kimataifa na nikipindi ambacho wawakilishi pekee kimataifa walikua Yanga na Azam. Au anawazungumzia marefa was TFF maana wa CAF kwa hizo shutuma klabu yetu inaweza hata fungiwa kwa kweli Simba iingilie kati hili swala maana Abdi ana utoto na hasira sana

Na ajue Simba na Yanga sio maadui ni mahasimu ndo mana mi ni Simba mama yangu ni Yanga , Haji anatoka Simba anaenda Yanga ungekua uadui hata wasingempokea
 
Mtanzania Abdi Banda ambae kwa sasa anachezea Mtibwa Sugar na Awali alichezea moja ya klabu iliopo ligi kuu Afrika kusini amefanyiwa mahojiano na Kick Off magazine ya Afrika kusini na kunukuliwa haya

"Ninachojua pirates atafuzu kwenda nusu fainali baada ya mikondo miwili ingekua hatari kama pirates wangeanzia Johannesburg kwanza"

"Simba itakua na mwamuzi mfukoni kwa sababu simba itampa mwamuzi fedha, Simba huwa wanatumia mbinu chafu wanapocheza nyumbani, lakini ni wazi hawana ubora unaolingana na pirates hivyo watapanga bajeti ya kushinda nyumbani kwa tofauti kubwa"

"maharamia(Orlando pirates) wakija Dar es Salaam, lazima watarajie mabaya zaidi na wajue kuwa vita itakua zaidi ya soka kwa sababu Simba inaungwa mkono na wanasiasa "

"Orlando pirates lazima wamtumie Senzo watakapokuja Tanzania kwa sababu anaijua vema Tanzania na aliwahi kuwa Simba hapo awali na sasa yuko yanga . Yanga watakua na furaha kuwasaidia Yanga kwa lolote watakalokuwa wanahitaji kwa sababu ni maadui wa Simba"

" wachezaji tishio walioko Simba kwa sasa ni Sakho na Bernard Morrison , vinginevyo hawana timu nzuri kama walivyokua msimu uliopita , na hii inaonesha hata pengo lililopo kati yao na Yanga walio kileleni mwa msimamo"

NB; Banda kama Gentamycine tu
HUU UMBEA WAKO KAMUULIZEE MWENYEWE..... BANDA
 
Ifike hatua tuhuma Kama hizi zichukuliwe hatua za kisheria, Manara aliandikaga utumbo akafuta, huyu bwege nae nasikia amekana Ila haiingii akilini mwandishi kujitungia story kuhusu timu flani na kuipublish, lazima tu walimuhoji.
 
Ifike hatua tuhuma Kama hizi zichukuliwe hatua za kisheria, manara aliandikaga utumbo akafuta, huyu bwege nae nasikia amekana Ila haiingii akilini mwandishi kujitungia story kuhusu timu flani na kuipublish, lazima tu walimuhoji.
Siyo mara ya kwanza hata mechi ya kaizer chiefs aliongea hayahaya sema tu alisema serikali inashirikiana na simba kununua waamuzi na kuforge covid safari hii kasema viongozi wa serikali wanashirikiana na simba kununua waamuzi na mbinu nyingine chafu.

Shahawa za mpalange ile michezo yake ya huko Tanga wajanja walikokuwa wanamrukia hazijamuisha kabisa.
 
Sasa kama ni kweli asisemee!!
 
Back
Top Bottom