Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

Tatizo linaanzia hapa...mtu baada ya kunya kinyesi(mavi),yeye anakunya akili
 
tukiachana na mbanga zingine lisemwalo lipo..! kiukweli na ndio ukweli SSC hawana kikosi bora na hata hapo walipofika ni bahati mbaya tu
 
Upuuzi huu nani aliwadanganya [emoji3], eti uzalendo. Tulie hilo tobo lishatoboka na VAR ipo kwa Mkapa. Hakuna janja janja Tena.
Vipi nyie utopolo hamna ujanja mpaka mkaliwa na wa naijeria
 
"Simba will have the referee in their pocket because Simba will give the referee money. Simba always uses dirty tactics when they play at home, but they obviously don’t have the kind of quality that Pirates so they will budget on winning at home by a wide margin.
Huyu kijana ana matatizo
 
Nao nyie mods kama Banda tu yani mi naanzisha uzi mnakuja kuuweka kama comments na I was the first yan kama Mnatutaftia BAN naomba na mimi mnipige tu hio BAN hamjui tunatenga mda wetu kuleta habari nyie kaz ni kurahisisha tu mambo
 
Nao nyie mods kama Banda tu yani mi naanzisha uzi mnakuja kuuweka kama comments na I was the first yan kama Mnatutaftia BAN naomba na mimi mnipige tu hio BAN hamjui tunatenga mda wetu kuleta habari nyie kaz ni kurahisisha tu mambo
Mkuu take it easy,issues zingine ndogo au kuna malipo kupost? Kama ni hivyo basi Paw abadilishe jina la mleta uzi awekwe homeless1 ili maisha yasonge
 
Mkuu take it easy,issues zingine ndogo au kuna malipo kupost? Kama ni hivyo basi Paw abadilishe jina la mleta uzi awekwe homeless1 ili maisha yasonge
Kaka hua sipendi kubishana na mwana Simba mwenzangu

Mi nasemea ni jinsi gan tu credits zinashindwa kutolewa kwa muhusika hii sio habari ya kwanza kuitafuta na kuiweka na wao kuitoa na kumpa mwingine, Yap hatulipwi na wala hakuna tunachopata ila wao hawajawai toa habari sasa kama wanashindwa kutoa habari kwanini wanatuvunja moyo sisi tunaotoa habari,
 
Kaka hua sipendi kubishana na mwana Simba mwenzangu

Mi nasemea ni jinsi gan tu credits zinashindwa kutolewa kwa muhusika hii sio habari ya kwanza kuitafuta na kuiweka na wao kuitoa na kumpa mwingine, Yap hatulipwi na wala hakuna tunachopata ila wao hawajawai toa habari sasa kama wanashindwa kutoa habari kwanini wanatuvunja moyo sisi tunaotoa habari,
Nautafuta uzi wako niupandishe juu,siuoni
 
IKO HIVI SORRY KWA KUTUMIA CAPITAL LETTERS: CHA KWANZA HUYO DOGO HAPO TANGA WAMEMLA SANA MPALANGE INAJULIKANA TANGA MJINI SIYO SIRI, AKIWA SIMBA KAFANYA VITU VYA AJABU SANA KUHUJUMU REFER HATA ILE RED CARD VS UTOPOLO

ALIVYOPATA TEAM SOUTH AFRICA SIMBA ILIKUWA NA HALI MBAYA KIFEDHA ALIONDOKA KWA DHARAU SANA..SANA

KULE ALIKUWA GARASA ILA HATA AKIWEKWA BENCHI ILIKUWA LAZIMA APIGE SIMU KWA WAANDISHI UCHWARA ALIOKUWA ANAWALIPA VI RANDS KADHAA KUMSIFIA AONEKANE BONGE LA BEKI

ALIWAHI HATA KUMTUKANA KOCHA AMUNIKE, ANA HULKA ZA KIKE KAMA NILIVYOSEMA TANGA HAWAMSHANGAI NI JUMA LOKOLE FULANI

MAMBO YALIVYOHARIBIKA HUKO SOUTH AKAKOSA TEAM KUNA VIONGOZI WAWILI SIMBA WALIKUWA WANAMPIGIA DEBE LAST YEAR ASAJILIWE SIMBA(IMAGINE TEAM BADO INA MAJITU YA HIVYO ETI NI VIONGOZI)

ILIVYOSHINDIKANA NDIYO HASIRA ZOTE HIZI

**LAST YEAR ALISEMA SIMBA VS KAZIER CHIEFS ALISEMA SIMBA NI MBOVU INAHONGA MAREFA, INA FORGE VIPIMO VYA COVID 19 IKISHIRIKIANA NA SERIKALI

** THIS YEAR ANAKUAMBIA SIMBA YA LAST YEAR ILIKUWA BORA ILA SERIKALI INASHIRIKIANA NA SIMBA KUNUNUA WAAMUZI

MWAKA JANA MIMI ALINIUDHI SANA ILA NISHAGUNDUA NI MTU MWENYE STRESS ANATAFUTA PA KUZITOLEA MPUUZE MPUUZE KABISA SHAHAWA MPALANGENI SIYO KITU KIDOGO KAKA, HIZI MIND GAMES MWAKA HUU HAZIFANYI KAZI TENA

**MAKOCHA WAKUBWA WALIOKUTANA NA SIMBA WANA I APPRECIATE HATA WA AL MASRY JUZI KAISIFIA, IBENGE, MOSIMANE..KOCHA WA ASEC, WA GENADAMARIE HALAFU HUYO JUMA LOKOLE WA TANGA NDIYO UMSIKILIZE?
Sijaona sababu ya kumzushia ushoga unapata nini?
 
Banda ni tatizo lakini viongozi wa Simba, TFF na BMT nao ni tatizo zaidi. Huyu jamaa mwaka jana alitoa tuhuma za hovyo hovyo hivi hivi (Kabla ya mchezo wa Kaier) wadau tukawaambia kupitia mitandao mchukulieni hatua huyo wakamwacha matokeo yake ndiyo haya sasa karudia tena. Huyo Banda akili hana kabisa yaani kwa tuhuma alizotoa anafikiri anaikomoa Simba kumbe zikisomwa kiundani anaidhalilisha simba, serikali, viongozi wa serikali na taifa kwa ujumla.

Huyu akiachwa hivi tukadhani Simba tu ndio watakoumia huko mbele watatokea wapuuzi wengine kama yeye kwa sababu litaonekana ni jambo dogo tu la kawaida. Simba ni taasisi kubwa na kama sikosei ina idara ya sheria kwa hiyo wanatakiwa walichambue hili suala kisheria wachukue hatua tena haraka hata kama serikali, TFF na BMT hawatachukua hatua. Haiwezekani heshima iliyowekwa na Simba kwa miaka hii mitano Afrika ivunjwe kirahisi rahisi tu na mpuuzi mmoja hasa ikizingaitiwa kuna watu wamekesha usiku na mchana na wengine wamewekeza mamilioni kuitengeneza halafu anakuja boya mmoja tu anaiharibu kwa sekunde.

Hivi wachezaji wetu wanakwama wapi. Morison pamoja na uchizi wake wote alipogombana na Yanga mpaka CAS lakini baada ya kesi kwisha hatukumsikia akiitukana Yanga wala viongozi wake zaidi tu ya maneno ya kukera ambayo ni ya kawaida sana. Wachezaji wetu wajifunze namna nzuri ya kuongea na vyombo vya habari hasa vya nje ili waepuke kuingia matatizoni na wakati mwingine wasiingize vilabu na hata nchi matatizoni.
 
Mtoto Bwabwa yule mpira umemshinda analeta taarabu.

Huyu ni wa kupuuzwa, ni wivu wa kike unamsumbua, hasa baada ya Simba kumtolea nje kujiunga nayo.
 
Abdi Banda amenukuliwa na mtandao wa Kick Off Magazite wa South Africa

Banda is a former Simba player who has also been on the books of Baroka and Highlands Park but now features for Mtibwa Sugar in the Tanzania top league.

"Morrison is a guy that will be out to prove a point to Pirates considering what happened in the past. I think Morrison had some misunderstandings with Pirates before so I know he will be out to show them what he can do.

"He has that kind of mentality of always wanting to prove himself to those that doubt him, and he usually gets the job done.

"The other threat for Simba is Sakho (Pape Ousmane) otherwise they don’t have a good team like they did last season, and it shows in the gap between them and Yanga who are top of the standings

"When they played Chiefs last season they had a better team," says Banda adding that Mbatha will have to be engaged to neutralise Simba’s famous shenanigans.

"When Pirates come to Dar es Salaam, they must expect the worst and know that the battle will be beyond football because Simba is supported by politicians.

"Simba will have the referee in their pocket because Simba will give the referee money. Simba always uses dirty tactics when they play at home, but they obviously don’t have the kind of quality that Pirates so they will budget on winning at home by a wide margin.

"What I know is that Pirates is going to qualify for the semi-finals after the two legs. It would have been a risk if Pirates played in Johannesburg first.

"Pirates must make use of Senzo for the trip to Tanzania because he knows Tanzania very well and used to be at Simba before and is now at Yanga.

"Yanga will be happy to assist Pirates in whatever they need because they are enemies with Simba," says Banda.

Duuh huyu kijana uzalendo wake ni sifuri kabisa. Mie ni mwana yanga siwezi fanya uchuro kama huu. Kaichafua nchi na siyo simba pekee. Nashauri TAKUKURU wamwite ahojiwe na alete ushahidi ikibidi achukuliwe hatua sitahiki
 
Banda chenga sana hii issue nimeona hadi kwenye goal.com wamechapisha ujinga wake. Mwanzoni nilijua labda mtu kamzushia lakini naona ni kweli yeye ndio kasema hivyo.

Anyway, SSC mpaka anafika hatua hii sijasikia timu yoyote ikisema referees wanaibeba Simba. So,difficult to tell what the man is going through mpaka anakuwa na comment za kizembe hivi.
Mpira unachezwa kwenye tvi kila mtu anaona jamani
 
Back
Top Bottom