Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Yaani hata Berkane hawajasema?Banda chenga sana hii issue nimeona hadi kwenye goal.com wamechapisha ujinga wake.Mwanzoni nlijua labda mtu kamzushia lakini naona ni kweli yeye ndio kasema hivyo
Anyway,SSC mpaka anafika hatua hii sijasikia timu yoyote ikisema referees wanaibeba Simba.So,difficult to tell what the man is going through mpaka anakuwa na comment za kizembe hivi
Wewe mbona umezijua wakati hujacheza hata umitashunita!?habari za michunao ya CAF anazijulia wapi wakati hajawahi kucheza hata mechi moja
Hapana Berkane sijasikia wakisema labda kama umewasikia weweYaani hata Berkane hawajasema
Hayo malalamiko yafikishwe CAf haraka siyo yanajitokeza tu simba ikicheza na wasauzi maana hata mwaka jana Kaizer chiefs huyu jamaa aliongea maneno hayahaya.Wewe mbona umezijua wakati hujacheza hata umitashunita!?
Kiambatanisho cha ushahidi akisema hivyo kipo wapi?Wanamichezo,asalaam
Nimeshtushwa na Maoni ya Beki wa Mtibwa aliyepata kucheza Afrika kusini na Simba Abdi Banda kuibagaza Simba na Serikali kipitia Vyombo vya Habari nje ya nchi...
Vipi mzee mbona unateseka hivyo?Wanamichezo,asalaam
Nimeshtushwa na Maoni ya Beki wa Mtibwa aliyepata kucheza Afrika kusini na Simba Abdi Banda kuibagaza Simba na Serikali kipitia Vyombo vya Habari nje ya nchi...
Zile goal 4 za jumapili 03-04-2022 kuna goal lolote la ujanja ujanja labda lilihitaji VAR?Upuuzi huu nani aliwadanganya 😀, et uzalendo. Tulie Hilo tobo lishatoboka na VAR ipo kwa mkapa. Hakuna janja janja Tena.
Unateseka ukiwa umelala kibaraza kipi hapo mjini?Mikia msilazimishe kila mtu aisupport timu yenu........Mtateseka sana.
Mambo ya Simba hayakuhusuUpuuzi huu nani aliwadanganya 😀, et uzalendo. Tulie Hilo tobo lishatoboka na VAR ipo kwa mkapa. Hakuna janja janja Tena.
Ha ha utopolo leteni ushahidi na nyie si mlisema tunapuliza dawa yako wapi.. ni wajinga wakubwa nyieUpuuzi huu nani aliwadanganya 😀, et uzalendo. Tulie Hilo tobo lishatoboka na VAR ipo kwa mkapa. Hakuna janja janja Tena.
Leta ushahidi utopolo, aka river unitedSasa kama ni kweli asisemee!!
Mnazijua nyie mlicheza na river unitedWewe mbona umezijua wakati hujacheza hata umitashunita!?
Huenda walimuahidi kumsajili ndio maana akaropoka yote hayo yasiyokuwa na ushahidi ili awaharibie Simba.Ana stress bro kutoka kuchezea 🦁 mpaka South Africa Hadi mtibwa unategemea Nini mkuu Kama sio stress
Inapoongelewa team ambayo imeiletea nchi point 28 kati ya 30.5 wewe mshabiki wa utopolo unakaa pembeni ni jambo la kiumeni hili.Pita pembeni kabisa mada hii haikuhusu kabisa kaongee kuhusu azam maana hata namungo katuheshimisha kama nchi kutupatia point 2.Banda yuko sahihi