Kama kweli huu ni ushauri wa Abdi Banda kwa Orlando Pirates, basi akapimwe akili

Tatizo linaanzia hapa...mtu baada ya kunya kinyesi(mavi),yeye anakunya akili
 
tukiachana na mbanga zingine lisemwalo lipo..! kiukweli na ndio ukweli SSC hawana kikosi bora na hata hapo walipofika ni bahati mbaya tu
 
Upuuzi huu nani aliwadanganya [emoji3], eti uzalendo. Tulie hilo tobo lishatoboka na VAR ipo kwa Mkapa. Hakuna janja janja Tena.
Vipi nyie utopolo hamna ujanja mpaka mkaliwa na wa naijeria
 
Huyu kijana ana matatizo
 
Nao nyie mods kama Banda tu yani mi naanzisha uzi mnakuja kuuweka kama comments na I was the first yan kama Mnatutaftia BAN naomba na mimi mnipige tu hio BAN hamjui tunatenga mda wetu kuleta habari nyie kaz ni kurahisisha tu mambo
 
Nao nyie mods kama Banda tu yani mi naanzisha uzi mnakuja kuuweka kama comments na I was the first yan kama Mnatutaftia BAN naomba na mimi mnipige tu hio BAN hamjui tunatenga mda wetu kuleta habari nyie kaz ni kurahisisha tu mambo
Mkuu take it easy,issues zingine ndogo au kuna malipo kupost? Kama ni hivyo basi Paw abadilishe jina la mleta uzi awekwe homeless1 ili maisha yasonge
 
Mkuu take it easy,issues zingine ndogo au kuna malipo kupost? Kama ni hivyo basi Paw abadilishe jina la mleta uzi awekwe homeless1 ili maisha yasonge
Kaka hua sipendi kubishana na mwana Simba mwenzangu

Mi nasemea ni jinsi gan tu credits zinashindwa kutolewa kwa muhusika hii sio habari ya kwanza kuitafuta na kuiweka na wao kuitoa na kumpa mwingine, Yap hatulipwi na wala hakuna tunachopata ila wao hawajawai toa habari sasa kama wanashindwa kutoa habari kwanini wanatuvunja moyo sisi tunaotoa habari,
 
Nautafuta uzi wako niupandishe juu,siuoni
 
Sijaona sababu ya kumzushia ushoga unapata nini?
 
Banda ni tatizo lakini viongozi wa Simba, TFF na BMT nao ni tatizo zaidi. Huyu jamaa mwaka jana alitoa tuhuma za hovyo hovyo hivi hivi (Kabla ya mchezo wa Kaier) wadau tukawaambia kupitia mitandao mchukulieni hatua huyo wakamwacha matokeo yake ndiyo haya sasa karudia tena. Huyo Banda akili hana kabisa yaani kwa tuhuma alizotoa anafikiri anaikomoa Simba kumbe zikisomwa kiundani anaidhalilisha simba, serikali, viongozi wa serikali na taifa kwa ujumla.

Huyu akiachwa hivi tukadhani Simba tu ndio watakoumia huko mbele watatokea wapuuzi wengine kama yeye kwa sababu litaonekana ni jambo dogo tu la kawaida. Simba ni taasisi kubwa na kama sikosei ina idara ya sheria kwa hiyo wanatakiwa walichambue hili suala kisheria wachukue hatua tena haraka hata kama serikali, TFF na BMT hawatachukua hatua. Haiwezekani heshima iliyowekwa na Simba kwa miaka hii mitano Afrika ivunjwe kirahisi rahisi tu na mpuuzi mmoja hasa ikizingaitiwa kuna watu wamekesha usiku na mchana na wengine wamewekeza mamilioni kuitengeneza halafu anakuja boya mmoja tu anaiharibu kwa sekunde.

Hivi wachezaji wetu wanakwama wapi. Morison pamoja na uchizi wake wote alipogombana na Yanga mpaka CAS lakini baada ya kesi kwisha hatukumsikia akiitukana Yanga wala viongozi wake zaidi tu ya maneno ya kukera ambayo ni ya kawaida sana. Wachezaji wetu wajifunze namna nzuri ya kuongea na vyombo vya habari hasa vya nje ili waepuke kuingia matatizoni na wakati mwingine wasiingize vilabu na hata nchi matatizoni.
 
Mtoto Bwabwa yule mpira umemshinda analeta taarabu.

Huyu ni wa kupuuzwa, ni wivu wa kike unamsumbua, hasa baada ya Simba kumtolea nje kujiunga nayo.
 
Duuh huyu kijana uzalendo wake ni sifuri kabisa. Mie ni mwana yanga siwezi fanya uchuro kama huu. Kaichafua nchi na siyo simba pekee. Nashauri TAKUKURU wamwite ahojiwe na alete ushahidi ikibidi achukuliwe hatua sitahiki
 
Mpira unachezwa kwenye tvi kila mtu anaona jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…