Kwanini apeleke ushahidi CAF?
Banda halalamiki, alikuwa anatoa maoni yake tu kwenye mahojiano aliyokuwa anafanya kuhusu mechi ya Simba na Orlando na kwanini anaona Orlando itasogea hutua inayofuata pamoja vikwazo itakavyo kutana navyo itakapocheza mechi ya hapa nchini.