Kama kweli jamaa anajiamini yeye ni mwanaume kweli afanye hivi

Kama kweli jamaa anajiamini yeye ni mwanaume kweli afanye hivi

Kama kweli anajiamini yeye ni kidume asijifiche ajichanganye hadharani kama zamani. Aende sokoni kama kariakoo. Asitumie sana usafiri binafsi. Asijifiche jifiche. Hapo nitamuamini jamaa kweli mwanaume.

Ila kwa wabongo wanavyokera utasikia huyooo huyoooo kachapiwaaa huyooo huyoo kagongewa. Yaani mkono unaweza kutembezwa balaa.
Hayakuhusu Mkuu. Angalia ishu zako, ya kuchapiwa muachie mwenyewe.
 
Itafikia mahala wanaume mtazoea kuchapiwa kama wanawake walivyowazoea mnavyochapa nje ya ndoa
 
Ila wananzengo msimbeze mtoa mada,jina lake lenyewe linajieleza hivyo majibu tunayo paswa kuyatoa yaendane na mada na si kumkejeli.
 
Back
Top Bottom