StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
You are making a lot of sense!Hii karat inavyochezwa wee huwezi jua iko hivi.
Huyu jamaa kaambiwa ajitenge fulani kama vile kasaliti ili kurudisha watanzania pamoja upepi uelekee kwake mama asahahulike mabaya yake maana ji muhulq wake wa mwisho akistaafu hamna shida .kazi iliopo ji kuhakikisha anafanya kazi kama hafungamani na mama ili kufanikisha jambo fulani maana watanzania mpaka sasa ccm haijui itaanzia wapi 2030 kazi itakua ngumu mno
Wote ni zao la UVCCM. Wanajuana vizuri sana hao.Wakati nchimbi yupo kwenye system huyo mwigulu alikua anasoma
Kwani Samia alianzia wapi mkuu. Huoni yupo tu anadunda?i na mama ili kufanikisha jambo fulani maana watanzania mpaka sasa ccm haijui itaanzia wapi 2030 kazi itakua ngumu mno
Hivi nchi hii tutafika salama kweli? Kwanini viongozi wakuu watofautiane hadi umma umejua?View attachment 3600265
Salaam Wakuu,
Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe.
Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..
Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..
Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.
Watanganyika tuko naye bega kwa bega, na tumeona figisu zenu zimeanza..
Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo. Kaa kimya kama kawaida yako.
Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..
Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..
Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.
Baada ya kufanya mliyofanya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Vita ya maji maji itapigwa mara ya pili. Jaribuni
Wazanzibar wamenogewa sasa wanataka kuchonga mzinga kabisaKama kweli mnajiamini mguseni Mtanganyika Dr. Emanuel Nchimbi
Ngoja tutoke urusi!!Huyo mafia hawamuwezi 😀😀😀, wasijaribu ni mdeadly ohh washalala
We ndo hujui ccm itaanzia wapi, ila sie kama ccm pakuanzia tunapafahamu, baada ya uchaguzi mkuu, hapa katikati zimefanyika chaguzi ndogo za kupata wabunge na madiwani then leo useme ccm haijui pa kuanzia?mpaka sasa ccm haijui itaanzia wapi 2030 kazi itakua ngumu mno
Habari yako mkuu
Tumeshatoka mbonaNgoja tutoke urusi!!
Polepole inauma sana aisee.View attachment 3600265
Salaam Wakuu,
Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe.
Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..
Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..
Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.
Watanganyika tuko naye bega kwa bega, na tumeona figisu zenu zimeanza..
Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo. Kaa kimya kama kawaida yako.
Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..
Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..
Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.
Baada ya kufanya mliyofanya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Vita ya maji maji itapigwa mara ya pili. Jaribuni
Nani kamgusa? Just tulia uone sasaWatu wamemgusa
Washamgusa Sasa! Unasemaje?View attachment 3600265
Salaam Wakuu,
Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe.
Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..
Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..
Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda mema.
Watanganyika tuko naye bega kwa bega, na tumeona figisu zenu zimeanza..
Dr. Emanuel Nchimbi nakutia moyo. Kaa kimya kama kawaida yako.
Hii Nchi ni ya Wananchi si mali ya mtu mmoja..
Wanaotumwa kukushambulia, wameshindwa kabla ya kuanza..
Fanya kazi zako kwa mjibu wa katiba, usishiriki maovu.
Baada ya kufanya mliyofanya kwa Balozi Humprey Polepole mnafikiri mtaweza fanya kwa Nchimbi pakalike? Vita ya maji maji itapigwa mara ya pili. Jaribuni
Huyo Ndubwi na mimacho yake wamemtoa sasaView attachment 3600265

Nchimbi kama alikuwa mjanja kipindi cha mauaji ya 29/10, na akakusanya ushihi wa kutosha, basi anaweza kukiondoa hiki kibibi. By the way kibibi ni kivuli tu ila nguzo kuu ni Mkwere.Nani kamgusa? Just tulia uone sasa
Wazanzibari ndiyo wamiliki wa Tanganyika.Wazanzibar wamenogewa sasa wanataka kuchonga mzinga kabisa