Safi kabisa...Ni kweli inashangaza sana, yaani 1.27bil tuliyopata hapo Boss Mo anachukua 49% ya hiyo pesa.
Kazi yako kwenye simba ni kupanua mdomo na kupiga kelele, hujui wachezaji wananunuliwa, kutunzwa na kuuzwa kivipi. Kuna watu wamewekeza mabilioni kwenye Simba, wewe umewekeza kupiga kelele. Football is both entertainment and businessHamna kitu nmeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu. Mo sijui umetutendea haki, nmetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi. Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee
Hamna kitu nmeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu. Mo sijui umetutendea haki, nmetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi. Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee
Kweli mkuu, kuna uwezekano mkubwa ule upepo mbaya umechangiaChama kaondoka aisee,pia dharau za Mo kwny Instagram Ile siku ukute imechangia pia Chama kuondoka.
Na Kuna picha zingine yupo kwenye mazoezi na BerkaneKwa taarifa yako Clatous Chama yuko Morocco na wenzake wanajifua tayari kwa msimu ujao. We endelea kuchafukwa nyongo kwa unazi wa kijinga wa Utopolo.
Mwaka jana tulioneshwa picha kavaa jezi ya vyura...
Yani acha tu chief Hali siyo nzuriKweli mkuu, kuna uwezekano mkubwa ule upepo mbaya umechangia
Daa noma bro, kama Chama na Miquissone wataondoka kwa pamoja, basi tutayumba kidogo Simba mpaka tuje kupata replacement zao ziweze kucover gap vizuri.Yani acha tu chief Hali siyo nzuri
Ulimleta wewe..? Alimleta Mo na atatuletea wengine tulia mpira biashara kakaHamna kitu nmeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu. Mo sijui umetutendea haki, nmetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi. Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee
Inawezekana kabisa,Chama kaondoka aisee,pia dharau za Mo kwny Instagram Ile siku ukute imechangia pia Chama kuondoka.
Hapa ndio tutaona uchawi wa darosaMi sioni tatizo maana aliyemleta, anayemlipa na atakayeleta mwingine ni huyo huyo. Tumwache afanye anachoona kinafaa kwa maslahi ya team. Tuwe objective zaidi tuachane na emotions!
Nadhani mauzo ya chama kuna kitu nyuma ya pazia, sidhani kama zilikua ni plan za simba kumuuza. Na ndio mana hata Ajib ameongezewa mkataba ghafla tu.Nacheka kama mazuri, ila SIMBA SC kuuza key players wawili kwa wakati mmoja bila kujua uwezo wa tuliowasajili, katika kuziba pengo ni ujinga mkubwa.
Ikitokea Hawa tuliowasajili kwasasa wameshindwa kudeliver kile tulichokuwa tunakipata kwa kina Chama na Miquisone,basi tujue kwamba tutakuwa wahanga uwanjani kwa muda usiojulikana mpka pale tutakaocheza kamari nyingine katika manunuzi.
Hebu tuifikirie ile Simba Sc uliyowahi kucheza mechi kadhaa huku chama na Miquisone wakiwa benchi, hakika ilikuwa ni kituko.Leo tunauza Chama na Miquisone alafu replacement ni kumuongeza Ajib mkataba seriously? Aiseeeh[emoji23]
Lakini pia tujue tu kwamba hii biashara imefanyika kwa siri sana na jaluna shabiki wa kawaida atakaekuja kujua hao wachezaji wameuzwa kwa bei gani, unajua ni kwanini? Sikuzote hatutakiwi kuona kwamba Simba inaingiza hela,tunatakiwa kujua tu kwamba hakuna faida inayoingia pale zaidi ya kupokea hisani tu.Hivyo hizo deals zitabaki kwa tetesi mpaka kiama,labda tuzisikie kutoka kwa hizo teams zilizowasajili.
Anyways tumeuza Triple C alafu tukamuomgezea mkataba AJIB , daah ngoja tuone.
Ni kweli kabisa, Fedheha ambayo Mo kampa CHAMA, bora ajiondokee tu. Huwezi kumuaibisha vile mtu hadharani. Pia sjawahi kuona Boss wa timu anafatilia wachezaji wake kwa kiasi cha kuwaaibisha hivyo. Hata kama deal la CHama lilikuepo tangia awali, Lakini kitendo cha MO ndio kimeleta chachu ya Chama kuondoka!Chama kaondoka aisee,pia dharau za Mo kwny Instagram Ile siku ukute imechangia pia Chama kuondoka.
Tutayumba sn tu, chama alkw ndo injini ya timu bwana.Daa noma bro, kama Chama na Miquissone wataondoka kwa pamoja, basi tutayumba kidogo Simba mpaka tuje kupata replacement zao ziweze kucover gap vizuri.
Hatunamna bossNilijua tu ataondoka hata mimi nisingemwacha huyo
Tarifa imetolewa labda kama ww hujaiona sawaTimu ni yake yeye na Barbra msimpangie cha kufanya! Ila daaa kawadharau sana yaani hata taarifa!?
Sent using Jamii Forums mobile app