Mimi ni shabiki wa Simba Sc ila sinaga huo ujinga, shabiki wa kweli wa mpira lazima auseme ukweli kila inapotakiwa(criticism). Hata ukiangalia hoja mbalimbali humu sijawahi kuside na Mo eti simply kwasababu ana hela, anapofanya la msingi nitapongeza na anapopunyanga nitasema.Lakini si mlisema kila kitu mmemwachia Mo ispokuwa tu nyie mashabiki mnataka furaha ya kushinda mechi, sasa mnalalamika nini?
Tuombe Mungu replacement itayofanyika ikidhi mahitaji, vinginevyo team ikishuka performance haya maneno mtakuja kuyakataa wenyewe.Tuanze hv...
Hive fikiri chama angekua baba ako au kaka ako...ungefurahi viongozi wasimba kumzuia asinde kulipwa milion 30 kutoka kulipwa milioni 10?
Pili fikiria mpira ulivyo...hata kule ulaya kuna team hua zinatamani kuwakeep wachezaji but magiant wa fedha wakisema utamwachia tu..
Tatu chacha mkataba unaisha 2022 utadhani simba ingeweza pata doll laki 5 mwakani? wakati huna mkataba na mchezaji?
nne huwezi shindana na wenye hela..
All in all tuvumilie kama alivyo ondoka Okwi next week tusikie vyuma vipya.
Kwa hiyo kuna muda maalum wa kumuuza mchezaji?!! Sio kama ukihitajika leo, bado na kesho utahitaji, hata wakihitajika watano uza tu, tena pesa zenyewe hizo!! SiachiMkuu hata Kama mpira Ni biashara,Sasa tunauza key players kwa wakati mmoja?nimesikitishwa.
Ila ngoja tuone replacement mpya, zinaweza kuleta kitu kipya ngoja tuoneTutayumba sn tu, chama alkw ndo injini ya timu bwana.
Tuwe tu na subira tuwaone hao walosajiliwa km wataziba pengo au laIla ngoja tuone replacement mpya, zinaweza kuleta kitu kipya ngoja tuone
Yeah mkuu, naamini watafanya vizuri sana.Tuwe tu na subira tuwaone hao walosajiliwa km wataziba pengo au la
Aende tu....wakati wake wa kuondoka ndio ulikuwa huu.Chama kaondoka aisee, pia dharau za Mo kwenye Instagram Ile siku ukute imechangia pia Chama kuondoka.
Hujui mpira wewe!!Hamna kitu nimeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa Chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu.
Mo sijui umetutendea haki, nimetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi.
Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uamuzi. Asante kwa haya maumivu uliyotupa wana simba aisee
AlimwambiajeIle ilikuwa dharau kubwa mno sio sahihi kumwambia professional player maneno kama yale!!??
Yale maneno yanatakiwa yaishie kwa mabeck tatu