Kama kweli Mo Dewji kamuuza Chama katukwaza wana Simba

Kama kweli Mo Dewji kamuuza Chama katukwaza wana Simba

Mtu aweke mpunga wake alafu aje kukuuliza wewe jinsi ya kufanya biashara?

Kama umetoa chozi utakuwa sio mzima wewe. Hayo ni matumizi mabaya ya machozi.

TRA washapata chao tayari naamini.
 
Lakini si mlisema kila kitu mmemwachia Mo ispokuwa tu nyie mashabiki mnataka furaha ya kushinda mechi, sasa mnalalamika nini?
Mimi ni shabiki wa Simba Sc ila sinaga huo ujinga, shabiki wa kweli wa mpira lazima auseme ukweli kila inapotakiwa(criticism). Hata ukiangalia hoja mbalimbali humu sijawahi kuside na Mo eti simply kwasababu ana hela, anapofanya la msingi nitapongeza na anapopunyanga nitasema.

Ukisema Team umemuachia Mo ati unachotaka ni furaha, vipi siku hiyo furaha isipokuwepo umuhimu wake utaonekana? Kama kuna mtu anadhani mafanikio katika mpira ni kitu cha kudumu awaangalie kwanza AS VITA, MAZEMBE na ZAMALEK ,PYRAMIDS na wengine wengi.Hao wote wanampunga mrefu kuliko SIMBA SC,lakini kwasasa hawazungumziwi kabisa.
 
Tuanze hv...

Hive fikiri chama angekua baba ako au kaka ako...ungefurahi viongozi wasimba kumzuia asinde kulipwa milion 30 kutoka kulipwa milioni 10?

Pili fikiria mpira ulivyo...hata kule ulaya kuna team hua zinatamani kuwakeep wachezaji but magiant wa fedha wakisema utamwachia tu..

Tatu chacha mkataba unaisha 2022 utadhani simba ingeweza pata doll laki 5 mwakani? wakati huna mkataba na mchezaji?

nne huwezi shindana na wenye hela..

All in all tuvumilie kama alivyo ondoka Okwi next week tusikie vyuma vipya.
Tuombe Mungu replacement itayofanyika ikidhi mahitaji, vinginevyo team ikishuka performance haya maneno mtakuja kuyakataa wenyewe.
 
Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4.. Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi😂😂 tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka😂😂
 
Mkuu hata Kama mpira Ni biashara,Sasa tunauza key players kwa wakati mmoja?nimesikitishwa.
Kwa hiyo kuna muda maalum wa kumuuza mchezaji?!! Sio kama ukihitajika leo, bado na kesho utahitaji, hata wakihitajika watano uza tu, tena pesa zenyewe hizo!! Siachi
 
Chama kaondoka aisee, pia dharau za Mo kwenye Instagram Ile siku ukute imechangia pia Chama kuondoka.
Aende tu....wakati wake wa kuondoka ndio ulikuwa huu.
 
Chama ameshazeeka, anatuambia anayo miaka 30, ukijumlisha na 10 atakuwa na 40.

Heri ameuzika
 
Hamna kitu nimeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa Chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu.

Mo sijui umetutendea haki, nimetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi.

Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uamuzi. Asante kwa haya maumivu uliyotupa wana simba aisee
Hujui mpira wewe!!
 
Dr. H. Manara tusamehe baba, Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo.

Boss alitaka kwenye nembo iwekwe kichwa chake!

IMG-20210815-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom