Kama kweli Mo Dewji kamuuza Chama katukwaza wana Simba

Kwa taarifa yako Clatous Chama yuko Morocco na wenzake wanajifua tayari kwa msimu ujao. We endelea kuchafukwa nyongo kwa unazi wa kijinga wa Utopolo.

Mwaka jana tulioneshwa picha kavaa jezi ya vyura...
 
Hamna kitu nmeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu. Mo sijui umetutendea haki, nmetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi. Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee
Mawazo yako umpe MO we yamekuingizia pesa ngapi?
 
Kwahiyo hukutaka Ajib, mtanzania mwenzako apate ajira?
Kwenye kazi usitangulize maswala la utaifa ilihali impact haionekani, hivi Chama ni wa kumlinganisha na Ajib?

Sijaulewa hoja yako, unaamanisha kwenye soka la ushindani tuangalie quality au utaifa? Mbona sijawataja akina Zimbwe,Manula,Kapombe na Nyoni?
 
Kwa taarifa yako Clatous Chama yuko Morocco na wenzake wanajifua tayari kwa msimu ujao. We endelea kuchafukwa nyongo kwa unazi wa kijinga wa Utopolo.

Mwaka jana tulioneshwa picha kavaa jezi ya vyura...
Tafuta historia yoyote humu inayothibitisha kuwa mimi ni Shabiki wa Yanga, mimi ni Shabiki wa Simba Sc pengine hata kabla haujajitambua.

Upuuzi ni kuamini kwamba kila shabiki wa Simba hatakiwi kuleta criticism yoyote kwenye club ya Simba Sc.

Ok, wewe shabiki unaejielewa endelea kuamini kuwa Chama na Miquisone bado ni wachezaji wa Simba Sc.
 
Hamna kitu nmeumia kama kuona taarifa Instagram za wachambuzi wa soka bongo kuwa chama tayari kashapigwa bei na picha ikimwonesha yupo na Tuisila Kisinda kwenye uzi wa waarabu. Mo sijui umetutendea haki, nmetoa chozi langu kumshtaki Mo kwa mwenyezi Mungu kama hili jambo likiwa kweli. Moo ulituahidi kuwa bado unajenga timu ya ushindani ndani na nje ya Africa kumbe upo kimasilahi. Sikuamini tena Moo Dewji, mbona hujatuuliza wana Simba ili tukupe mawazo, wewe umejichukulia uwamuzi. Asante kwa haya maumivu ulotupa wana simba aisee
Mtu kuuza Mali yake ni kosa? Atauza Miq, atauza Laly, atauza Mugalu nk. Mchezaji pekee wa kigeni anayemilikiwa na Simba ni MK14.
 
Mzee baba kwani timu si ni ya Muddy na Barbara?

Wananunua wao na wanauza wao, hawataki ingia hasara watu wakifika bei...

Ukistaajabu ya Simba, basi bado hujaona ya Yanga....ni kuuza tu dadadeki
 
Tafuta historia yoyote humu inayothibitisha kuwa mimi ni Shabiki wa Yanga, mimi ni Shabiki wa Simba Sc pengine hata kabla haujajitambua.

Upuuzi ni kuamini kwamba kila shabiki wa Simba hatakiwi kuleta criticism yoyote kwenye club ya Simba Sc.

Ok, wewe shabiki unaejielewa endelea kuamini kuwa Chama na Miquisone bado ni wachezaji wa Simba Sc.
Nawapenda sana mashabiki wanaojitambua kama wewe. Eti kusema uongozi wa Simba au wa Yanga unakosea hiki na hiki ni dhambi kwa timu hizi? Tunaona mashabiki wa timu kubwa ulaya hadi wanaandamana kupinga wawekezaji kama Kraonke na Glazer.
 
Mkuu shida kubwa inayowakabili mashabiki wengi wa kitanzania hasa wa hizi team kubwa ni elimu ndogo na wengi wao ni wapumbavu tu kama yule alyewapa Yanga jina la utopolo.Na hii shida unaenda mpaka kwa viongozi wetu wa soka.

Shabiki wa kweli lazima auseme ukweli bila kupepesa macho hata kama hatasikilizwa, kukubali kila kitu kuhusu kitu fulani bila kufikiria (haswa kwa mwanaume) ni ishara ya kushindwa kujiongoza.
 
Mwacheni moo afanye yake....... Mikia fc.......achen kulia
 
Simba ikipata faida, wewe binafsi unanufaika na chochote?
Sipati faida na ndio maana tumeamua tuendelee kupata hasara kwenye uendeshaji wa timu ya simba, na hatujawahi kupata faida kwasababu kila siku ni hasara tu
 
Kwenye kazi usitangulize maswala la utaifa ilihali impact haionekani, hivi Chama ni wa kumlinganisha na Ajib?

Sijaulewa hoja yako, unaamanisha kwenye soka la ushindani tuangalie quality au utaifa? Mbona sijawataja akina Zimbwe,Manula,Kapombe na Nyoni?
Unaposema Ajib ni mbadala wa Chama ndipo nilipokushangaa. Maana Chama akiwepo, Ajib pia alikuwepo. Ingekuwa vyema unaulizia mbadala wa Chama ni nani badala ya kushangaa Ajibu kubatizwa Simba wakati Chama ameuzwa...
 
Back
Top Bottom