Basi mufute huyo Ayatollah Khamenei ambaye ameandika kitabu cha namna ya kumt*mba mtoto mdogoSwali hilo limekuwa likiulizwa na watu wengi, hasa katika nyakati hizi tunapoona Taifa la Israeli likipitia mateso, vita, au mashambulizi makali. Huenda hata wewe unajiuliza: “Je, ni kweli Mungu bado ni Mungu wa Israeli? Kama ni hivyo, mbona hawalindi?”
Kwa jicho la kibinadamu, hali hii inaweza kuonekana kama Mungu amewaacha. Lakini kwa jicho la kiroho na kibiblia, majibu ni tofauti kabisa.
1. Mungu huwaadhibu watu wake wanapomwasi – lakini si kwa kuwachukia. Katika Biblia, taifa la Israeli lilichaguliwa na Mungu kuwa watu wake wa agano. Hata hivyo, Mungu aliahidi kuwa atawaadhibu wakienda kinyume na amri zake, si kwa chuki, bali kwa lengo la kuwaokoa.
“Ninyi peke yenu ndiyo niliowajua, katika jamaa zote za dunia; kwa sababu hiyo nitawaadhibu kwa maovu yenu yote.” (Amosi 3:2)
2. Uharibifu wa miji yao sio ushahidi kwamba Mungu amewatupa. La hasha. Mara kadhaa tumesikia miji ya Israeli inavamiwa, watu wanakufa, au taifa linakumbwa na majanga. Hii haimaanishi Mungu amewatupa. Kinyume chake, Mungu ana mpango mkubwa zaidi kwa ajili yao hata katikati ya huzuni wanazopitia. Hii ni ahadi ya Mungu kwao:
“Maana nayajua mawazo ninayowawazia... ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa tumaini siku zenu za mwisho.” (Yeremia 29:11)
3. Unabii mwingi unaeleza kuwa Israeli itapitia majaribu makubwa kabla ya wokovu wao wa mwisho. Mungu aliishaonya kupitia manabii wake kuwa Israeli itapitia vipondo na vita kabla ya Yeye kuingilia kati moja kwa moja.
“Nitayakusanya mataifa yote ili yapigane na Yerusalemu... lakini Bwana atatoka, na kupigana na mataifa hayo...”
(Zekaria 14:2–3)
Hii inaonyesha kwamba hata vipondo vya leo ni sehemu ya mpango wa Mungu kuelekea ushindi wa mwisho wa Israeli.
4. Yesu mwenyewe aliomboleza kwa uchungu kwa sababu ya uasi wa Israeli. Wakati Yesu alipokuja, alilia kwa ajili ya Yerusalemu kwa sababu waliukataa wokovu aliowaletea.
“Ee Yerusalemu, Yerusalemu... Mara ngapi nalitaka kuwakusanya watoto wako... lakini hamkutaka!”
(Mathayo 23:37)
Israeli walichagua kujitenga na mapenzi ya Mungu, lakini hiyo haijafuta upendo wa Mungu kwao.
5. Mungu bado ana agano la milele na Israeli – hajawaacha.
Katika Agano Jipya, Paulo anazungumzia wazi kuwa Israeli hawajatupiliwa mbali.
“Je! Mungu amewakataa watu wake? Hasha!... Mungu hakuwakataa watu wake aliowajua tangu mwanzo.”
(Warumi 11:1–2)
Hii inaonyesha kuwa vipondo sio mwisho wa historia ya Israeli – bado kuna tumaini na ushindi wa Mungu juu yao.
Kwahiyo kama umekuwa ukifikiri Mungu wa Israeli amewatelekeza watu wake, futa mawazo hayo. Vipondo wanavyopitia ni sawa na mzazi wa kweli, anavyowarudi watoto wake kwa upendo. Matarajio yetu ya mwisho ni kwamba, kama ilivyotabiriwa, Mungu atawatetea Israeli kwa mkono wa nguvu na utukufu wake utaonekana tena kupitia taifa hilo.
Please save or bookmark this thread for future reference.
View: https://x.com/TRobinsonNewEra/status/1935735621751889955