Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

Unafikir utajuaje lolote na huku husomi neno lake???

Sent using Jamii Forums mobile app
Na unafikiri hata nikisoma maneno hayo yaweza kunifanya nitende mema wakati mimi si mkamilifu?

Unafikiri hata nikisoma yataweza kuondoa kifo au magonjwa pamoja na shida nilizonazo au kuniletea ugali nyumbani? Kama haiwezekani si bora muda huo wakusoma hiyo miandishi niutumie kutafuta pesa ya kunilisha mimi na familia yangu maana yeye kashindwa

Sent using unknown device
 
Unamdhihaki Aliekuumba wewe na watu wako wote waliotangulia kabla yako kila walilolifanya ujue wazi kuwa Mungu ndio mpangaji liwe zuri liwe baya. Kijana Umekula hasara kubwa sana pole kijana, Kumbuka M/Mungu ndie muumba Mbingu na Ardhi, na vilivyomo ndani yake sasa wewe Fanya mzaha.
 
Naona hutaki kutoa majibu ya swali langu ety???

Naona na wew unatia swali,

Tufanye hivi mm ndio mwalimu, sasa toa majibu ya swali langu then tuendelee na darasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali langu hapo juu tuendelee na darasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hutaki kutoa majibu ya swali langu ety???

Naona na wew unatia swali,

Tufanye hivi mm ndio mwalimu, sasa toa majibu ya swali langu then tuendelee na darasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuzui mimi hata ukisema tufanye wewe ndiye mungu mwenyewe halafu mimi ndio binadamu napo freshi tu

Hakuna swali umeuliza sijajibu. Ila wewe hujajibu swali hili

Swali ni je maombi yanaweza kubadilisha mawazo ya mungu? Mungu akikuandikia kua hakupi je ukisali kwa kuomba atakupatia hitaji lako?

Sent using unknown device
 
Nimekuuliza hivi...

UNAAMINI MUNGU YUPO AU HAYUPO???

NA KAMA MUNGU YUPO, UNADHANI KAKULETA DUNIANI UJE UFANYE NN????
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuuliza hivi...

UNAAMINI MUNGU YUPO AU HAYUPO???

NA KAMA MUNGU YUPO, UNADHANI KAKULETA DUNIANI UJE UFANYE NN????

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni swali jipya machoni kwangu kutoka kwako. Umekua ukilalama kua kuna swali umeliuliza kabla yangu sijalitolea majibu nataka nilijue ilo swali ni lipi, au kama ni ili swali ulilokua unalalamika sijalijibu niambie umeliuliza kwenye post namba ngapi?

Kama hujaliuliza hili swali kabla, hivyo hutakiwi kuliweka hapa walati kuna swali nimekupa mapema kabisa ulijibu hujalijibu

Swali ni je maombi yanaweza kubadilisha mawazo ya mungu? Mungu akikuandikia kua hakupi je ukisali kwa kuomba atakupatia hitaji lako?


Sent using unknown device
 
kwa iyo dhambi alotenda Adamu na mwenzake ndo inanihukumu hadi mimi?

uyu Mungu mbona ana kisasi sana
Sio kisasi, ni repercussion tu ya dhambi. Ndio maana amemtuma mwanae wa pekee ili aje kukuokoa. Angekuwa na kisasi asingefanya hivyo.
 
Yani wew ungekua mwanafunzi wangu, pamoja na roho wa Mungu alie ndani yangu, nahakika angeniongoza nikuchalaze fimbo hadi uvimbe mwili mzima.


Mwalimu hapangiw kujibu swali kwa wakati unao utaka wew.
Mm nakuuliza swali hilo ili nikutengenezee majibu mazur ya maswali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikua ni mpango wa mungu kuwepo na shetani au Mungu alifeli katika mipango yake ndipo shetani akawepo?

Sent using unknown device
Mwenyezi Mungu anajua kila kitu, anapanga kila kitu na anaweza kila kitu. Kwahiyo ni kweli kabisa Mwenyezi Mungu alijua kila kitu kumhusu shetani lakini bado alimuumba na alimpa uhuru wa kufanya maamuzi kwa busara, ila kwa kujawa na kiburi, shetani alichagua msimamo tofauti.

Ninadhani nimekujibu.
 
Kwaiyo mungu hakuliona hilo kabla kua shetani atakua na kiburi?

Sent using unknown device
 
Kwaiyo mungu alimuumba shetani ili amchome moto siku ya mwisho?

Maana umedai anajua kila kitu hivyo hata kabla ya kumuumba shetani alikwisha jua kua atakuja kuumba kiumbe ambacho kitaja muhasi, kwanini mungu hakusitisha zoezi la kumuumba huyo shetani au kwanini asi fix future ya mbele ili shetani asije kufanya kinyume na mapenzi yake kwa kutumia uwezo wake wote alionao?

Sent using unknown device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…