James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Mungu gani unaemzungumzia wewe ? Mungu wako hawezi chochote zaidi ya kuwatishia watu kua atawachoma motoKuna mwingine alisema Onanukuu ' Mungu ni kama mwanamke' huyu naye anataka Mungu ampigie magoti nafkiri wanashida mahali. Mungu uwape neema na rehema za kujujua how good ,sweet and forgiving you are watoke ktk ujinga wao amen
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
rudi kivingine usirudi kama ulivokuja saizi
ndio nimepanic nimemmaindi huyo anajiita muumba wa kila kituUmepanic braza
ndio nimepanic nimemmaindi huyo anajiita muumba wa kila kituUmepanic braza
kwa iyo kifo ni adhabu ?Tatu..... Soma maandiko. Yaaan usome biblia kwelikweli ndo utapata nafasi ya kumjua huyu Mungu ninani.
Ukikaa kaaa ovyoovyo nakubakia kupokea mafundisho ya walimu wakidini HAUTAKAA UMJUE MUNGU NI NANI.
1 na 2 .. Mungu aliumba mwanadamu mkamilifu na ambaye hakunuumbia kifo.
Kwa mujibu wa kitabu cha mwanzo, dhambi ilipoingia Duniani, ndipo Mungu akikweka kifo kama Adhabu ya kutenda dhambi.
Nilijua una maswali magumu.,, ila nashaur ukasome Maandiko.
kwa iyo walokufa ndio wene dhambi ?Tatu..... Soma lmaandiko. Yaaan usome biblia kwelikweli ndo utapata nafasi ya kumjua huyu Mungu ninani.
Ukikaa kaaa ovyoovyo nakubakia kupokea mafundisho ya walimu wakidini HAUTAKAA UMJUE MUNGU NI NANI.
1 na 2 .. Mungu aliumba mwanadamu mkamilifu na ambaye hakunuumbia kifo.
Kwa mujibu wa kitabu cha mwanzo, dhambi ilipoingia Duniani, ndipo Mungu akikweka kifo kama Adhabu ya kutenda dhambi.
Nilijua una maswali magumu.,, ila nashaur ukasome Maandiko.
Mbona umemnukuu Ibrahim na siyo Mungu ?Quran 2-132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
kama kweli unatafuta dini ya kweli hiyo apo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa kufiwa na mama yako, lakini kumbuka kuna tumaini kwa wafu. Mungu ameahidi kuwafufua waadilifu na wasio waadilifu pia(Ndo 24:15),baada ya ufufuo kutakua na maisha mazuri sana duniani.(Zab 37:10,11)kwa iyo walokufa ndio wene dhambi ?
hujajibu swaliPole sana kwa kufiwa na mama yako, lakini kumbuka kuna tumaini kwa wafu. Mungu ameahidi kuwafufua waadilifu na wasio waadilifu pia(Ndo 24:15),baada ya ufufuo kutakua na maisha mazuri sana duniani.(Zab 37:10,11)
Mungu hapangi maisha ya mtu hapa duniani,huwa anamkarubia anae mkaribia(Yak 4:8) wazia ukiwa karibu na mtu mwenye uwezo utakua na wasi wasi?? Pokea mwaliko huo toka kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
mungu gani uyo ?wengine hawafi wanachukuliwa Kmsukule so Mungu anajua wanaishi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio nimepanic nimemmaindi huyo anajiita muumba wa kila kitu
Wanasema anajibu maombi lakini kwa maombi yote yale karibu nchi nzima kumuombea ruge apone lakin bado kadanja...huyu mungu changa la macho tumepigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisaMtoa mada anakitu kikubwa kuliko wafuasi wa dini na misemo yenu ya kutisha tisha (motoni, zambi)
Unajua ukitumia akili utapata kuona busara za mtoa mada
Sent using Jamii Forums mobile app
kama si ujinga kwa nini mnahangaika makanisani kuombea wagonjwa wapone?
sasa mbona mnasingizia na kumkemea shetani ,kumbe mungu ndo mpangaji wa mpaka mabayaujue wazi kuwa Mungu ndio mpangaji liwe zuri liwe baya
vipi watoto wanaozaliwa na ukichaa ?wamemkosea wapi?Yani kama upo serious kwa hili, basi jua unakosea sana. Lakini kama upo kiutani, basi nakushauri utafute kitu kingine cha kufanya nacho utani. Mungu anaweza akakufanya ukawa kichaa watu washangae imekuaje kuaje ukawa kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
dhambi ilifika vipi duniani bila ya mungu kujua kabla ?au kuna mambo hajui?1 na 2 .. Mungu aliumba mwanadamu mkamilifu na ambaye hakunuumbia kifo.
Kwa mujibu wa kitabu cha mwanzo, dhambi ilipoingia Duniani, ndipo Mungu akikweka kifo kama Adhabu ya kutenda dhambi.
mungu ni jinsia gani?Kuna mwingine alisema nanukuu ' Mungu ni kama mwanamke' huyu naye anataka Mungu ampigie magoti
Mkuu uliza swali moja moja.kweli kabisa
kama si ujinga kwa nini mnahangaika makanisani kuombea wagonjwa wapone?
sasa mbona mnasingizia na kumkemea shetani ,kumbe mungu ndo mpangaji wa mpaka mabaya
vipi watoto wanaozaliwa na ukichaa ?wamemkosea wapi?
dhambi ilifika vipi duniani bila ya mungu kujua kabla ?au kuna mambo hajui?
mungu ni jinsia gani?
na ubaya ukowapi kumfananisha na kiumbe chake mwenyewe?
je mwanamke ni tusi?
samahaniMkuu uliza swali moja moja.
Jibu la swali la kwanza..
Miili ya binadamu ndio inajinsia.
Na kazi ya uume au uke nazani unaijua.
Lakini Mungu hana mwili, Mungu ni Roho.
tumeumbwa kwa mfano wake kwaio sisi pia ni roho?Mkuu uliza swali moja moja.
Jibu la swali la kwanza..
Miili ya binadamu ndio inajinsia.
Na kazi ya uume au uke nazani unaijua.
Lakini Mungu hana mwili, Mungu ni Roho.