Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

Kuna mwingine alisema nanukuu ' Mungu ni kama mwanamke' huyu naye anataka Mungu ampigie magoti nafkiri wanashida mahali. Mungu uwape neema na rehema za kujujua how good ,sweet and forgiving you are watoke ktk ujinga wao amen

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kuna mwingine alisema Onanukuu ' Mungu ni kama mwanamke' huyu naye anataka Mungu ampigie magoti nafkiri wanashida mahali. Mungu uwape neema na rehema za kujujua how good ,sweet and forgiving you are watoke ktk ujinga wao amen

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mungu gani unaemzungumzia wewe ? Mungu wako hawezi chochote zaidi ya kuwatishia watu kua atawachoma moto
 
Tatu..... Soma maandiko. Yaaan usome biblia kwelikweli ndo utapata nafasi ya kumjua huyu Mungu ninani.
Ukikaa kaaa ovyoovyo nakubakia kupokea mafundisho ya walimu wakidini HAUTAKAA UMJUE MUNGU NI NANI.

1 na 2 .. Mungu aliumba mwanadamu mkamilifu na ambaye hakunuumbia kifo.
Kwa mujibu wa kitabu cha mwanzo, dhambi ilipoingia Duniani, ndipo Mungu akikweka kifo kama Adhabu ya kutenda dhambi.

Nilijua una maswali magumu.,, ila nashaur ukasome Maandiko.
kwa iyo kifo ni adhabu ?
 
Tatu..... Soma lmaandiko. Yaaan usome biblia kwelikweli ndo utapata nafasi ya kumjua huyu Mungu ninani.
Ukikaa kaaa ovyoovyo nakubakia kupokea mafundisho ya walimu wakidini HAUTAKAA UMJUE MUNGU NI NANI.

1 na 2 .. Mungu aliumba mwanadamu mkamilifu na ambaye hakunuumbia kifo.
Kwa mujibu wa kitabu cha mwanzo, dhambi ilipoingia Duniani, ndipo Mungu akikweka kifo kama Adhabu ya kutenda dhambi.

Nilijua una maswali magumu.,, ila nashaur ukasome Maandiko.
kwa iyo walokufa ndio wene dhambi ?
 
kwa iyo walokufa ndio wene dhambi ?
Pole sana kwa kufiwa na mama yako, lakini kumbuka kuna tumaini kwa wafu. Mungu ameahidi kuwafufua waadilifu na wasio waadilifu pia(Ndo 24:15),baada ya ufufuo kutakua na maisha mazuri sana duniani.(Zab 37:10,11)
Mungu hapangi maisha ya mtu hapa duniani,huwa anamkarubia anae mkaribia(Yak 4:8) wazia ukiwa karibu na mtu mwenye uwezo utakua na wasi wasi?? Pokea mwaliko huo toka kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hujajibu swali
 
ndio nimepanic nimemmaindi huyo anajiita muumba wa kila kitu

Jitahidi ule ushibe, ufanye mazoezi na fanya kazi sana.. hzo ni stress tu za maisha.

Mungu yupo na atakusaidia wakati ukifika.

Thank me later
 
Wanasema anajibu maombi lakini kwa maombi yote yale karibu nchi nzima kumuombea ruge apone lakin bado kadanja...huyu mungu changa la macho tumepigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada anakitu kikubwa kuliko wafuasi wa dini na misemo yenu ya kutisha tisha (motoni, zambi)
Unajua ukitumia akili utapata kuona busara za mtoa mada

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa
Wew koma kufa sio ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
kama si ujinga kwa nini mnahangaika makanisani kuombea wagonjwa wapone?
ujue wazi kuwa Mungu ndio mpangaji liwe zuri liwe baya
sasa mbona mnasingizia na kumkemea shetani ,kumbe mungu ndo mpangaji wa mpaka mabaya
Yani kama upo serious kwa hili, basi jua unakosea sana. Lakini kama upo kiutani, basi nakushauri utafute kitu kingine cha kufanya nacho utani. Mungu anaweza akakufanya ukawa kichaa watu washangae imekuaje kuaje ukawa kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
vipi watoto wanaozaliwa na ukichaa ?wamemkosea wapi?
1 na 2 .. Mungu aliumba mwanadamu mkamilifu na ambaye hakunuumbia kifo.
Kwa mujibu wa kitabu cha mwanzo, dhambi ilipoingia Duniani, ndipo Mungu akikweka kifo kama Adhabu ya kutenda dhambi.
dhambi ilifika vipi duniani bila ya mungu kujua kabla ?au kuna mambo hajui?
Kuna mwingine alisema nanukuu ' Mungu ni kama mwanamke' huyu naye anataka Mungu ampigie magoti
mungu ni jinsia gani?
na ubaya ukowapi kumfananisha na kiumbe chake mwenyewe?
je mwanamke ni tusi?
 
kweli kabisa

kama si ujinga kwa nini mnahangaika makanisani kuombea wagonjwa wapone?

sasa mbona mnasingizia na kumkemea shetani ,kumbe mungu ndo mpangaji wa mpaka mabaya

vipi watoto wanaozaliwa na ukichaa ?wamemkosea wapi?

dhambi ilifika vipi duniani bila ya mungu kujua kabla ?au kuna mambo hajui?

mungu ni jinsia gani?
na ubaya ukowapi kumfananisha na kiumbe chake mwenyewe?
je mwanamke ni tusi?
Mkuu uliza swali moja moja.

Jibu la swali la kwanza..
Miili ya binadamu ndio inajinsia.
Na kazi ya uume au uke nazani unaijua.

Lakini Mungu hana mwili, Mungu ni Roho.
 
Mkuu uliza swali moja moja.

Jibu la swali la kwanza..
Miili ya binadamu ndio inajinsia.
Na kazi ya uume au uke nazani unaijua.

Lakini Mungu hana mwili, Mungu ni Roho.
samahani
swali lako ni hili
kama kifo si ujinga(umesema wewe)
je kwanini tunaombea wagonjwa makanisani wapone ?
 
Mkuu uliza swali moja moja.

Jibu la swali la kwanza..
Miili ya binadamu ndio inajinsia.
Na kazi ya uume au uke nazani unaijua.

Lakini Mungu hana mwili, Mungu ni Roho.
tumeumbwa kwa mfano wake kwaio sisi pia ni roho?
 
Back
Top Bottom