Kama kweli Mungu yupo inabidi aniombe msamaha

WE KIJANA YAANI MI NIKUOMBE MSAMAHA WAKATI NILIKUUMBA KWA MAUDONGO YA MTWARA NA NTAKULETEA MABALAA MPAKA UTUBU SA HAYA SI UNGENIOMBA KWA SALA NSHAANZA KUKUBARIKI ILA SASA UTAOMBA POO HUWEZI KUNISEMA HIVI
 
WE KIJANA YAANI MI NIKUOMBE MSAMAHA WAKATI NILIKUUMBA KWA MAUDONGO YA MTWARA NA NTAKULETEA MABALAA MPAKA UTUBU SA HAYA SI UNGENIOMBA KWA SALA NSHAANZA KUKUBARIKI ILA SASA UTAOMBA POO HUWEZI KUNISEMA HIVI
kumbe uko humu mkuu unatuchora😀😀👍
 
Majibu unayopewa na wadau hapa hayana hata viwango vya TBS mkuu 😆😆
 
samahani
swali lako ni hili
kama kifo si ujinga(umesema wewe)
je kwanini tunaombea wagonjwa makanisani wapone ?
Ukiwa unaumwa mwili unateseka, unahitaji uponyaji.
Ni tofauti kabisa na kifo, aliyekufa haisi tena uchungu wowote.
Kwahiyo anae umwa lazima aombewe aachane na mateso hayo ya kuumwa.
Jambo la kumuombea mgonjwa apone udhaifu wake haimaanishi kwamba hatutaki mtu yeyote asife.
 
See
Kabla ya maangamivu huja kiburi. Kwa maneno yako umeonesha kiburi. Lakini Mungu ni wa rehema.
 
Lakini hili swali kaulizwa Mungu. Tumuache amjibu mwenyewe kwa namna anayoona inafaa. Mkianza lecture mnamzidishia mkanganyiko .
 
Aisee
 
Bandiko lako linafikirisha sana.
 
Chief kama bado hajakujibu basi akishakuomba msamaha naomba uniunganishe naye nina mawili matatu ya kujadiliana naye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…