Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Ndio na sisi tuna roho.tumeumbwa kwa mfano wake kwaio sisi pia ni roho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio na sisi tuna roho.tumeumbwa kwa mfano wake kwaio sisi pia ni roho?
kumbe uko humu mkuu unatuchora😀😀👍WE KIJANA YAANI MI NIKUOMBE MSAMAHA WAKATI NILIKUUMBA KWA MAUDONGO YA MTWARA NA NTAKULETEA MABALAA MPAKA UTUBU SA HAYA SI UNGENIOMBA KWA SALA NSHAANZA KUKUBARIKI ILA SASA UTAOMBA POO HUWEZI KUNISEMA HIVI
Ukiwa unaumwa mwili unateseka, unahitaji uponyaji.samahani
swali lako ni hili
kama kifo si ujinga(umesema wewe)
je kwanini tunaombea wagonjwa makanisani wapone ?
SeePoleni na majukumu wakuu,. Kama heading inavosema apo kama kweli mungu yupo inabidi aniombe msamaha kwa sababu zifuatazo
Moja: Kama Mungu yupo yupo basi ni wazi kua yeye ndo alopanga maisha ya mwanadam kuanzia kuzaliwa mpaka kufa kwake, hivo basi ata aya magumu ninayopitia ni wazi alipanga yeye iwe hivi aniombe msamaha kwa hili
Mbili:kama kweli yupo basi ni yeye anaeruhusu watu wafe na wengine wazaliwe kwa maana iyo ni yeye ndo aliruhusu ndugu zangu nnaowapenda akiwemo my lovely mother afe, na kwanini aliruhusu afe wakati alijua kua mama angu ndo furaha yangu yeye ndo alienisabaishia hizuni mpaka leo na kwa hili ata aombe msamaha siwezi kumsamehe
Tatu:kwa nini amekua wa kujificha sana au hataki watu wake waujue ukweli kuhusu yeye ina maana mi nnavohangaika kutafuta dini ya kweli yeye hanioni ? aniombe msamaha kwa kweli
Lakini hili swali kaulizwa Mungu. Tumuache amjibu mwenyewe kwa namna anayoona inafaa. Mkianza lecture mnamzidishia mkanganyiko .Mosi; Mwenyezi Mungu alikuumba wewe, na anajua kila kitu kuhusu wewe ila hajakupangia. Amekupa akili na utashi wa kutambua mema na mabaya na hivyo kufanya maamuzi sahihi.
Ukiona mambo hayaendi ujue huenda hautumii vizuri akili na utashi aliyokujalia. Lakini, kama kuna magumu unapitia, kwa kiasi kikubwa huenda ni matokeo ya dhambi; ukianza na ile ya wazazi wetu wa kwanza, Adam na Eva.
Pili; pole sana kwa kutokwa na mama. Lakini ujue tu kuwa kifo ni safari kutoka maisha ya hapa duniani kwenda maisha ya Milele huko Mbinguni. Hauna haja ya kumlaumu Mwenyezi Mungu kuhusu hilo. Yeye aliyepanga tuzaliwe kimwili, ndiye aliyepanga pia tufe kimwili, japo roho zetu zitaishi milele.
Tatu; Mwenyezi Mungu hajajificha. Amekuambia umtafute, nawe utamuona. Mwenyezi Mungu anajidhirisha kwetu kila siku. Mtafute, nawe utamuona.
Uwe na wakati mwema mkuu.
AiseePoleni na majukumu wakuu,. Kama heading inavosema apo kama kweli mungu yupo inabidi aniombe msamaha kwa sababu zifuatazo
Moja: Kama Mungu yupo yupo basi ni wazi kua yeye ndo alopanga maisha ya mwanadam kuanzia kuzaliwa mpaka kufa kwake, hivo basi ata aya magumu ninayopitia ni wazi alipanga yeye iwe hivi aniombe msamaha kwa hili
Mbili:kama kweli yupo basi ni yeye anaeruhusu watu wafe na wengine wazaliwe kwa maana iyo ni yeye ndo aliruhusu ndugu zangu nnaowapenda akiwemo my lovely mother afe, na kwanini aliruhusu afe wakati alijua kua mama angu ndo furaha yangu yeye ndo alienisabaishia hizuni mpaka leo na kwa hili ata aombe msamaha siwezi kumsamehe
Tatu:kwa nini amekua wa kujificha sana au hataki watu wake waujue ukweli kuhusu yeye ina maana mi nnavohangaika kutafuta dini ya kweli yeye hanioni ? aniombe msamaha kwa kweli
AiseeHuyo mungu bora aendelee kujificha tu maana akijitokeza tutamuhoji maswali hayo mpaka ajute kuwa mungu.
Aiseebasi kashindwa maana mi niko poa mpaka naboa
DuhMkuu sioni sababu ya kumshukuru nimshukuru kwa lipi labda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanaogopa kulike hii thread na mimi nikiwemo.
Bandiko lako linafikirisha sana.Hapo ndipo utakuja kuona habari za mungu zina ukakasi sana
Adam na eva baada ya kuasi kutokana na kushawishiwa na shetani, tunamuona mungu anatoa adhabu pamoja na laana kubwa kwa viumbe vyake ambavyo yeye mwenyewe amekiri kua havijakamilika. Hii pia ni adhabu ya uonezi kabisa kuwahi kutolewa na huyu mungu. Adamu atakula kwa jasho, huku eva/hawa akijifungua kwa uchungu pamoja na kupunguziwa miaka ya kuishi duniani
Lakini hatujaona mungu huyu akitoa laana kwa shetani kua kutokana na dhambi ya kumshawishi eva/hawa basi utatafuta kwa jasho, au utazaa kwa uchungu na hautadumu milele utakufa. Zaidi tunamuona mungu huyu pamoja na shetani wanatembeleana wakipiga soga. Wakati sisi huku vitabu vyake vimesema hatuwezi kumuona kutokana na dhambi tulionayo, je sisi tunadhambi gani kumzidi shetani mbona yeye anapiga stori na shetani ambaye ndiyo msababishi wa dhambi mpaka sisi kumuasi yeye?
Sent using unknown device
Duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka bifu na Mwenyezi Mungu sio?
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo yote hajanisaidia yeye
Duhndio nimepanic nimemmaindi huyo anajiita muumba wa kila kitu
Chief kama bado hajakujibu basi akishakuomba msamaha naomba uniunganishe naye nina mawili matatu ya kujadiliana naye!Poleni na majukumu wakuu,. Kama heading inavosema apo kama kweli mungu yupo inabidi aniombe msamaha kwa sababu zifuatazo