Kama kweli ndivyo ilivyo; basi si haki hata kidogo!

Kama kweli ndivyo ilivyo; basi si haki hata kidogo!

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Suala la upandishaji madaraja lilisitishwa kwa miaka kadhaa. Watumishi wengi waliathiriwa na suala hilo. Kutowapa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha kanuni, ni uonevu!
IMG-20230819-WA0001.jpg
 
Hivi Kama mtu alitakiwa kupanda daraja mwezi uliopita, inakuwaje, atasubiri hadi mwezi wa 5 mwakani au atapanda tuu
 
Watumishi wa halmashauri mtazidi kupauka[emoji28]
Kwakweli tutapauka na ukizingatia kupanda kwa bei ya bidhaa na gharama za usafiri hakuchagui nani kaongezwa nani hajaongezwa! Duh!

Wenye uthibitisho wa hili watoe ufafanuzi
 
"Serikali haina pesa za kutoa nyongeza kwa wote, tumeajiri watumishi wapya wengi sana hivyo kaeni kwa kutulia" - Afisa kipenyo
 
Back
Top Bottom